@fycargotanzania: Umechagua bidhaa hatua inayofuata ni kulipia na kufuatilia oda yako! 📦📲 Kwenye sehemu ya pili ya series hii, tunakuonyesha jinsi ya kufanya malipo na kufuatilia maendeleo ya oda yako mpaka ifike kwenye warehouse yetu China. Agiza kwa urahisi na ufuatilie kila hatua kupitia mfumo wa FYCARGO. 🌐 www.fycargo.com 📞 0740190937 📞 0623925124 #FYCARGO #Pinduoduo #AgizaChina #OrderTracking #ChinaToTanzania
Fycargo Tanzania
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 15:29:17 GMT
Music
Download
Comments
dygner 😍 :
Kama hauna Visa card inakuaje! Yaani una MPesa tu au airtel money nafanyaje??
2026-09-09 08:12:00
3
official_mwacoi :
Jinsi ya kubadilisha lugha kwenye pinduoduo
2026-09-09 06:40:35
1
Antonia 💕 :
Mbona kwenye nchi Tanzania siioni
2026-09-11 13:12:06
1
vanny :
natumia visa card ya mpesa inakataa kwanini?
2026-09-19 02:59:52
0
princess___mamu💙🦋 :
Iyo 63.72 ndio bei gn
2026-09-14 04:48:00
0
user :
ukishaingiza card haileti code ya ku accept
2026-09-09 10:09:17
0
🐻💸 :
Kwan mpk lazima kadi ya benki kwa lain za sm inawezkan?
2026-09-10 06:00:47
1
Mishell Ibrah 🫰 :
Jmn me kila niktak kufanya malipo inaleta hivi 🥺
2026-09-10 11:46:38
0
Jemmie✨ :
very helpful
2026-09-09 06:01:19
0
Godfrey Romanus :
naomba msaada wa kuibadili kichina to English boss ?
2026-09-13 11:41:43
0
🦋Lucie-1324🦋 :
mim nikifika kweny kulipia hapo inaniletea lugha ya kichina😞
2026-09-09 05:01:30
0
Mr Noah :
unachaji tshingai kwa kg na kama mzigo ukiwa chini ya kg labda 0.2kg
2026-09-09 06:21:04
0
𝙽𝚊𝚑𝚢𝚊 𝙰𝚕𝚕𝚢 :
kwa meli mzigo unafika baada ya siku ngap?
2026-09-18 21:30:57
0
shanga point handmade dizain👌 :
iyo card unaipataje
2026-09-09 09:03:24
0
Getlook♡♡ :
Hiyo pesa unaeidisha kwa ngapi?
2026-09-10 12:26:52
0
WISE :
jinsi ya kulipia hai leti sehemu ya kuweka kadi
2026-09-09 07:46:30
1
_Irene :
By sea inatumia mda gani kufika?
2026-09-10 09:43:26
0
user :
haileti code
2026-09-09 10:08:46
1
tnation27 :
🔥🔥🔥
2026-09-08 15:44:51
0
To see more videos from user @fycargotanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.