@radiomariatanzania: JE, MUNGU ANA KUSUDI GANI NA WEWE? - Video ni homilia ya Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bikira Maria katika Groto ya Mama Bikira Maria iliyopo Makao Makuu ya Radio Maria Mikocheni, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. www.radiomaria.co.tz #GusaMoyo2026 #InjilishaSimanjiro #RadioMariaTanzania

Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 15:37:45 GMT
901
156
3
1

Music

Download

Comments

user5475805612351
Nisela :
Ee Mwenyezi Mungu nijalie nipate redio ndani ya nyumba yangu nipate kusikia nakusikiliza vipindi vya redio Maria Amina
2026-09-08 20:32:10
0
edgar.wausa.jr
Edgar Wausa Jr :
🙏🙏🙏
2026-09-08 16:12:43
0
user9169545058226
SECY🦋🦋🥰🌹 :
🙏🙏🙏
2026-09-08 16:26:47
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About