@neyla_manga: Mdogo wangu atanisadia kila kitu 😂😂😂😂😂😂😂

Neila _manga
Neila _manga
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 15:43:30 GMT
139324
10503
251
190

Music

Download

Comments

rebbyjacob
rebby jay :
kumbe ilianzia huku😂😂😂😂😂😂
2026-09-10 06:02:24
58
abdulkareem65331tiktok.c
mkapa 🦅💀⚡💫💈🤝 :
kumbé Martha Hana makosa [Tears of joy]
2026-09-11 07:25:35
24
deezylukas
Dezeey😘 :
Hivi kwani wanaume wanashindwa kufanya hivyo wenyew au wanatuona wafanyakazi wao afu ni wote tunatafuta hizo ela gyz inauma kama huna moyo mgumu usiolewe mschana😁
2026-09-08 16:40:08
54
aman.right6
Aman Right :
mbona shemej mkali kuliko wife weeee🥰🥰
2026-09-09 07:28:40
21
mat123.com.g4
mat@ :
ohhh nyie mnatupa Kaz ya kufany nyie.. tunafany alaf mnasemh wakin martha tunatabia mbya
2026-09-10 14:52:06
2
erimzo2
ERIMZO 💯 :
😁😁 everything martha
2026-09-09 20:28:40
0
user8656052765497
FRANCE SON#🇿🇦 :
ukininyima mwendelezo, nakuchukia☺️☺️☺️
2026-09-08 20:52:41
6
dee.nity
D.. $∆nity :
Martha mbon Kama ni vitu vyangu kbc
2026-09-09 09:46:01
10
magrethfrahim
Maggie :
Nahitaji mwendelezo lasivyo sitoki hapa🙈
2026-09-08 19:49:04
7
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
Martha mwemwenyew ndo uyu kwishaaaaaaa habar yako
2026-09-09 09:37:39
5
missvee5311
💞Vedada@%*💖 :
Kumbe uliyataka
2026-09-14 14:16:11
0
o.s.w.a.l.d
O.s.w.a.l.d :
kuuumbeee, iiii ndo mwanzo😁
2026-09-10 11:37:42
2
_reliana_donna
Lilly💦🖤 :
Tena ndo anaitwa martha😂😂🙌
2026-09-08 18:03:17
10
zawadikivambe
lt's.... official zainab ❤️ :
kumbe chanzo ni wewe 😆😆😆
2026-09-14 20:21:27
3
ruqaiy0
ruqaiy :
Kumbe Martha hanakosa
2026-09-12 22:04:50
3
user2377537546194
martha :
umejua kuniwakilisha my name 🥰🥰🥰
2026-09-12 04:36:20
3
user5626871481512
G.momy :
Sasa nimeshaelewa😂🤣🤣🤣 fanya kazi yako Martha
2026-09-13 05:17:34
1
bright7542
Brigitha :
kumbe uliyataka mwenyew 😂😂
2026-09-14 07:15:16
1
user4076200177730
Fabi girl465 :
kumbe ulimuagiza😁
2026-09-12 14:59:20
2
mwanaisha.ally01
aisha :
kumbe uliyataka mwenyew
2026-09-10 11:01:58
2
nasdy.electronics
NASDY ELECTRONICS :
Kumbe Martha Hana makosaaa 😂😂😂
2026-09-09 15:56:47
3
diana.kalomba
Diana Kalomba :
kumbe wew ndo uliekosea hat me nisingeweza😂
2026-09-10 10:50:51
2
userhedayamwotela
Hedaya Mwotela :
kumbe Martha Hana shida
2026-09-11 13:20:13
1
mimy2002
iamMIMY2002🦋 :
maji si aliambiwa ampashie au mimi ndo cjaskia 😂😂
2026-09-12 12:31:22
1
To see more videos from user @neyla_manga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About