@pika.na.mimi: 🥣 BANZI T TAMU 😋✨ Leo nimezipika kwa maziwa na Blue Band 🥛🧈, bila kutumia maji wala mafuta. Zimetoka laini, tamu na kabisa 😋❤️ Mahitaji: 🥣 Ngano vikombe 3 🥛 Maziwa kikombe 1 🥚 Mayai 2 🍚 Sukari vijiko 3 🧂 Chumvi kiasi 🥄 Baking powder kijiko 1 🥄 Hamira kijiko 1 🧈 Blue Band kiasi Rahisi, laini na tamu kabisa 😋❤️ #PikaNaMimi #BanziT #Mapishi #MapishiYaKiswahili #MapishiRahisi

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 15:56:07 GMT
18890
517
12
42

Music

Download

Comments

emmy84890
emmy :
sorry mimi nauliza kama huna oven si ata kwenye mkaaa
2026-09-10 13:38:20
1
roseate08
roseate :
Moto kias gan kwa oven
2026-09-17 19:42:39
0
mrsnassour
آشلي نصر🥀 :
Mashallah 🥰
2026-09-15 09:48:07
0
amima8230
Mr's 🥰................ :
upo wapi kipenz
2026-09-13 18:42:42
0
user2867041119181
jaira :
150
2026-09-09 12:54:47
0
ainekishakaizilege
Liwalo na Liwe :
wauzaj per ne
2026-09-08 19:17:12
1
rahy_s14
It's rahy😊 :
mashaAllah
2026-09-08 16:32:12
0
mimergye
Mimer.Gye :
moto ngapi?
2026-09-09 10:58:28
1
kina00379
Kina :
Moto umeeka ngap mpz?
2026-09-08 20:35:10
0
wahdaabaya
wahdaabaya👗🥻 :
iyo ulopakaz mwisho juu nn
2026-09-09 15:43:08
0
aminahalfa
🦋amina 🦋Baby❣🌺 :
2026-09-08 19:22:34
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About