anh nipo dar hapahapa ila nyinyi mmefika juzi tyuu mshafika kwa chinoo😂😂
2026-09-08 17:32:21
311
👑🇹🇿BRAVE ONE👑🇹🇿 :
daaah apo bado diamond tu
2026-09-08 17:32:47
47
𝐄𝐗𝐏𝐄𝐍𝐃𝐀𝐁𝐋𝐄🇨🇩🦺 :
Mnatuzoea vibaya sasa😂😂😂
2026-09-08 16:19:56
190
V̷X̷O̷ K̷I̷N̷G̷ 🔥👑 :
meeeeee😂
2026-09-11 14:31:12
0
Amokidyy-Tz💗💗 :
Chino ndio msanii pekee ambaye hakatai mtu yoyote😂
2026-09-08 20:15:58
88
Jitale Bhupanga²⁷ :
Naitwa Magembe Muuzaji wa Mahadiwea
🙏🙏
2026-09-09 19:57:01
28
pamela_27 :
Mi ningeomba kila mkoa iwe na tiktok yake jmn
2026-09-08 19:20:11
25
official ❤️ :
hahaha meese
2026-09-11 05:17:59
0
@K.v classic., :
Me nahisi kuna watu wameuza viwanja vya urithi ili mradi wapate ela ya kukutana na wasanii bongo
2026-09-08 16:50:04
48
It’s millah 🌸💕🤍 :
Bado young lunya😂
2026-09-09 10:36:09
0
Iganji jr official 👑👑 :
kwahy chino mdogo wako haya bn😂😂😂😂
2026-09-09 07:53:09
5
TGWAN :
Babeki… Omahiii!!!
2026-09-09 21:14:24
0
NyokaMsela🐍 :
Sipati picha mkali akikutana na young lunyaa 😅😅😅
2026-09-08 18:19:45
24
_𝙳𝚁𝙰𝙼𝙰 𝙺𝙸𝙳𝙳𝚈_🤟🏿 :
chino namkubali bro ajikut star yey anajikutakam yul çhin wa miyaka 5 nyuma nakbl
2026-09-08 18:24:13
0
CHIOMA💗💗😍😍 :
ooh MY hahahaha
2026-09-09 18:47:40
0
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Walai mkitoka nyie ni zamu ya is my drimuuu pls nishawaombea [Tears of joy]
2026-09-08 18:32:12
18
G ONe Classic :
Zingatia neno la mbudhiiiiiiii "Utatuambia nn?" 😂😂
2026-09-09 01:39:53
8
FRANCE X5 :
chinp anachukua nyota za watu wanaong'aa au kutrend kwa muda uo wala sio support mfano ni wote waliopita kwake hakuna anaye toboa wala kuendelea kutrend anapoteaa
2026-09-08 16:57:48
7
Ackim❤️🩹🔐…🦋 :
Wanawaona wasanii mara hiii 😂
2026-09-08 16:51:56
12
DJ CLAUDY CLUB KING 🎧 :
mje na mbeya
2026-09-08 16:24:22
17
@(banka_sailor$)🍁☪️ :
oya nawakubali sana
2026-09-08 16:30:02
9
JAY HOME ASSET :
chino anacheka tu😁😁😁
2026-09-08 16:25:21
7
Black boy 🤙 :
kuonana na chino kidd 2 umesha anza kuita watu ni wadogo zako 😂🤣🤣 ila bongo🙌🙌
2026-09-11 04:10:59
0
To see more videos from user @kenny.mtu.safi8, please go to the Tikwm
homepage.