Powa kipenzi tumekuelewa.Mie ninasim nne sasa nawaza Airport ya Dar pale Wasumbufu hao nawaza kweli napia ni sim za nduguzangu so za biashara na mwezi huu ndonasafiri.Sasa naomben ushauri niziweke kwenye bag lipi?
2026-09-09 06:11:43
0
Marry 🥰🥰 :
🥰🥰 nakupend buree
2026-09-08 16:47:09
0
mam kauthar :
jmn nieleweke mm sibebi kitu hata mtu nimjue bola lawama kuliko fedhea
2026-09-08 17:11:23
0
AshaShabani :
unamafuwa pole natafutakazi sinapasipoti
2026-09-10 18:38:56
0
halima maulidi :
kumbe
2026-09-11 14:46:06
0
Mariam Fadhili :
poleudii hawaruhusu. na pafrum je auhawaruhusupia
2026-09-08 16:41:43
1
🦋🦋Cute ~G~🦋🦋 :
kumbe ukishuka tz wanapima tena[Innocent]
2026-09-08 16:51:42
0
Shamira hasani :
pole lazima ujue ulichobeba kama hujui lazima wachukue passport au ulipie huo mzigo
2026-09-08 18:22:26
0
Wardah🥰 :
😳😳😳hii kumbe wanapima tena ukifika Tanzania
2026-09-08 16:59:01
0
Aysher 🥰 :
mwisho kilo ngapi
2026-09-08 17:08:29
0
Esther sospeter :
ivyi kwanini Tanzania wanatamaa sana mimi mwenyewe nimenunuwa UDI ulitowa shigapi
2026-09-08 16:31:21
1
amina kihange :
tz Wana tamaa tyu
2026-09-08 17:18:33
0
Muhindi Saida :
hata udi wangu wakutumia hairusiw au
2026-09-09 08:55:53
0
SINDA FOOTZONE SINGIDA :
nakuona uko milande😳😳
2026-09-09 05:21:05
0
Maliki Hamdani Maliki :
💞💞💞
2026-09-08 20:37:41
0
da ruu🥰♥️💞😘 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-16 03:54:58
0
To see more videos from user @my.love25901, please go to the Tikwm
homepage.