@madeinmbeyabrand: @FOREX TANZANIA 🇹🇿 Huduma zetu tuko na community yetu ya traders kutoka sehemu tofaut ndani na nje ya tz sasa hii ni fursa kwa kijana yoyote anaetamani kujifunza au amekua akitrade na hapati faida hawi profitable sasa anaweza tutafuta na kupata msaada kutoka kwenye team yetu ya forex traders Pia signals na mentorship ni bure asiwe na shaka akahisi atadaiwa Namna ya kujoin sasa link ipo kwenye bio mwishoni unaweza watajia namba watume ujumbe WhatsApp neno niunge 0754431572
Yote Tisa 10 me siwezi mnyima bwana angu hela 😂😂😂😂Uzuri hawaombagi hela nyingi 🤣😂
2026-09-09 07:34:05
85
isiakah de perfumes :
LETE HYO CHALLENGE ninaye huyu boss lady wangu😂😂😂
2026-09-11 15:04:59
0
Velvet whisper :
Nawaomb hao wadada muwaambie nawapenda tuna meeting december
2026-09-11 10:48:57
3
missboss53 :
Mimi mpenz wangu angepata hata 50000
2026-09-11 12:02:10
8
Johnson john :
we jmaa ni wa mbeya eti amemnyimaa
2026-09-09 05:40:34
11
Vee🤍🦋 :
Kwan mnatoa wapi wapenzi wachoyo 😂💔🤌
2026-09-08 16:51:10
29
Essy🫧 :
Asa sisi wadada wa mbeya tunatoa wap hela jmn😂🙌
2026-09-08 23:22:44
8
N🇹🇷♥️ :
Sema wadada nimewapenda wanauzulia vikao
2026-09-09 17:06:59
10
Irene82 :
menajua wangu angeniomba elf10 au elf5 na anajua sina[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 07:53:16
6
LastBornMe :
hakuna mwanamke mchoyo kwa mtu anayempenda,, ndo mana kila mtu kaomba kulingana na kiwango anachojuwa mtu wake anacho,, Wanaume hakikisheni mnawapenda watu wenu na wameelewa kuwa mnawapenda
2026-09-09 04:02:15
30
justEve :
🤣🤣 ebu njoo umpigie babe wangu jmn na mm nimdhalilishe...
2026-09-09 11:38:53
11
Rodger man :
nimegundua napendwa dadeq😂
2026-09-09 06:30:07
6
Lash by Pricy🌸 :
shida yenu hamnidate mimi ningewapa😁
2026-09-11 21:07:45
0
GWANTWA G🇹🇿 :
Wanawake tulikubaliana hatuna hela 😄😄😄
2026-09-09 05:32:56
18
Christina :
Wanawake wanatoa wapi hela sasa
2026-09-11 21:06:01
0
@promise♥️ :
watu manadate wadada wachoyo khaa😂🙌polen mim mwanaume wangu nampa kwakweli kikubwa na yey huwa anisaidia weee Nampa jmn mtajua nyie mnaojisemea wanawake hatuna ela mim kwa mwanaume wangu ninazo mtajua nyie 😂🙌
2026-09-08 21:33:57
16
Ney 🌹🌹😘💯 :
wanawake tumekua na umoja hatariii
2026-09-08 18:04:19
13
🤩Buddy :
kikao cha juzi hakikwenda bure 😂😂
2026-09-11 16:23:51
3
Benblack Electronics 🛍 :
Woman na ubinafsi 🙌🙌🙌
2026-09-09 20:16:07
2
Esther 🦋🦋 :
Mm mpenz wangu huwa anasema mama kuna namba nimekutumia hapo weka 50 Bac na ninakimbia kuweka😅😅😅
2026-09-11 18:12:03
1
ashamnally :
we ungechek tu kwa rafiki zako me cna
2026-09-09 13:20:51
4
Nay🥰 :
😄😄😄wanawake hoyeeee
2026-09-09 13:02:34
3
To see more videos from user @madeinmbeyabrand, please go to the Tikwm
homepage.