@realkevootz:

realkevootz
realkevootz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 16:40:08 GMT
100656
7771
494
127

Music

Download

Comments

ummysimba04gmail.com
user46081688852176 :
akuna mchezaji kama chama bahna
2026-09-08 18:34:38
73
kevoo.hq
kevoo HQ :
Wenae umeamkia wap
2026-09-09 13:34:23
0
waziri.mussa53
Waziri Mussa :
We acha kumfananisha Chama na sele,
2026-09-09 05:23:57
37
user5794176677296
user5794176677296 :
kevoo unatesekaeee
2026-09-09 11:28:00
0
user777237056136
0741588067 :
mhhhhhhhh ukwl mwamby kaka
2026-09-08 17:57:44
2
voisaclassic92
voisaclassic92 :
chama ni mchezaji mkubwa africa na ndo mchezaji anaongoza kufunga magoli caf so mpeni heshima
2026-09-08 18:46:51
25
baba.henry19
Tino.tino :
jezi.shingap
2026-09-08 18:30:14
1
mrspurs3
Mr Tottenham Nguzo :
nchi Yako na nani
2026-09-09 09:30:15
9
humorousprofundity
Thinklaugh :
Ila wanaYanga wanaongea sana
2026-09-09 05:19:43
9
kassimu.mbaruku
Kassimu Mbaruku :
kwa nini yanga hawajielewi
2026-09-09 08:03:41
2
berthabarick3
Bety :
mwambie 🤣🤣🤣
2026-09-09 12:02:15
0
raphaelcharles786
Raphael Charles :
kwel Manala amesema yanga wenyeakili niwawili nikwel nimeamini yanga wenyeakil niwawil au mojatu
2026-09-09 05:33:21
7
asharajab123
Asha Rajab :
tuachie chama wetu
2026-09-09 15:43:35
0
user1755715004600
kilembwe mangwana jr :
iyo word cup ya vilabu ata ronaldo ajacheza kwaiyo kutokucheza kombe lile aimaanishi kuwa ni mchezaji mdogo
2026-09-08 18:31:14
6
juma.iddy78
Juma Iddy :
unamliganisha chama na mwalim kweli
2026-09-08 19:30:32
1
baba.loma5
Baba Loma :
kaza sauti
2026-09-09 11:47:18
2
gb4236
gb :
Derby imekaribia viongozi wa Simba mlindeni Chama na wachezaji wetu sasa.Huyu Chama amelinganishwa na wachezaji wafuatayo: 1.Azizi wapi! 2.Pacome wapi! 3.Sasa eti Sele teacher😁 Chama ni level nyingine Bro! Mlishindwa kumtumia😁Stop racism in football.
2026-09-08 18:38:13
2
michael.ngoilenya
Michael Ngoilenya :
yanga bingwa 💚💛🙏👍🏆🏆🏆🏆
2026-09-09 10:00:13
1
jamesmasunga395
jamesmasunga395 :
dah bro izo point mtupu
2026-09-08 19:12:52
7
ramso.boy34
ramso boy :
kwakweliiiii
2026-09-09 11:47:27
1
user1714531105962abedy
abedy marko :
unajua cham ni mzee wak kua na heshim saw
2026-09-09 13:04:36
1
sifael618
prettygirl :
kwa vichambo ivyo nakufollow kaka😂 asante
2026-09-08 18:10:14
3
neemajuma179
Neema :
wa lete wachezaji unaowaona wacheze
2026-09-08 19:17:11
1
faraja.mande
FARAJA MANDE :
chama ni mchumba tuuu
2026-09-08 19:39:21
4
kingmao221
kingmao :
kwan kati ya chama azizi ki na seleman mwalimu nan ana magol meng kwenye mashindano ya caf?
2026-09-08 19:06:23
1
To see more videos from user @realkevootz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About