@kiswahilitvonline: Hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho ya ya Ernesto "Che" Guevara, mnamo Oktoba 8, 1967, mwanamapinduzi huyu alizingirwa na kunaswa kwenye bonde la Yuro Ravine nchini Bolivia na jeshi la nchi hiyo likisaidiwa na CIA. Ilipofika tarehe 9 Octoba 1967, amri ya kumuua Che Guevara ilitolewa kwa siri na Rais wa Bolivia, René Barrientos, na wakuu wa jeshi. Hata walipomaliza kumuua kwa kumpiga risasi walikata mikono miwili ya maiti ya Che Guevara. Na kutoa taarifa rasmi kwa ulimwengu kuwa Che Guevara alikufa kutokana na majeraha ya vita aliyoyapata wakati wa mapigano mnamo Oktoba 8. Na hata mwili wake Serikali ya Bolivia ilikataa kuwapa ndugu zake au nchi ya Cuba, na badala yake walidanganya kuwa ulichomwa moto. 👉Ni harakati gani huwezi kuisahau aliyoifanya Che Guevara?
kiswahili Tv
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 16:44:35 GMT
Music
Download
Comments
kingdice :
legend revolutionist
2026-10-18 16:32:51
1
🇹🇿_Dj_Mlukali🎶 Midundo_⏭️✔️ :
Hadi geto kwangu nimembandika🥺
2026-09-08 17:59:34
62
Fadhil Bêy :
R.I.P pacha👊
2026-09-09 08:05:03
25
jaymwansobha kenyamana :
tuelekeze alifanya nini wakati wa uhai wake na nini haswa sababu ya kuuliwa kwake..?tusije tukamuonea huruma pengine yeye ndo chanzo cha haya maisha kuwa magumu
2026-10-18 16:05:16
2
Eric +255 :
Kuna hotuba yake moja ivi ilikua UN umoja wa mataifa Mjini New york city marekani mwaka 1961. jamaa alizungumza neno moja tu kwenye ile conference HOMELAND OR DEATH na hotuba akawa amemaliza. R.i.p Shujaa
2026-09-11 02:54:53
54
faraja-MOA :
Naomba kujua waliotoa amri ya kumuua na waliomuua sasa hivi wapo wapi?
2026-09-09 03:28:04
31
Hinya_Jr De Firstborn :
Naombeni jina la movie tafadhar
2026-09-22 16:49:12
6
Busara :
tupe historia yake apo wengine awaerewi arikuwa nani katika jamii
2026-09-10 08:56:17
9
Daniel Smith The Great :
R.I.P The Great legend Che Guevara
2026-09-11 12:43:36
5
St.Gisbart :
sina uhakika kama ni kweli. maana yeye alikufa kwenye mapambano hakukamatwa
2026-09-08 17:56:18
7
chaya village⭐️ :
aliyetoa amri alikufa miaka 2 baada ya amri hiyo na alietekeleza amri na yeye ni mchaga sometimes unajiuliza kuna haja gani ya kumuua binadamu mwezako wakati atakufa tu wakati wake ukifika
2026-09-11 18:46:13
7
DINGI ELI OFFICIAL TZ🇹🇿 :
Mwamba Huyu Legend Che Guevara Kwa Heshima yake Kwa jinsi alivyojitoa Kwa ajili ya Watu Wengine wote tusimame Kwa dakika Moja Kwa kumkumbuka
2026-09-27 05:22:54
3
James Gerard :
Kuna muda nikisikiliza matukio ya wakombozi najikuta tu nachukia NCHI yangu 😢😢😭
2026-09-10 21:04:37
6
Ridhione :
🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-11 21:44:27
3
rajboy🤓🤏 :
Rest in peace😭Cheguevara45
2026-09-09 10:40:24
5
Hussein Makwendo :
watu wema wanaliwa dunia hii
2026-09-29 20:23:26
2
laulent mwanj :
milele hato Saulika mwamba
2026-09-08 17:50:06
7
𝕬𝖘𝖍𝖞𝕭𝖔𝖞 𝕸𝖆𝖉𝖗𝖆𝖟𝖔 :
me nakumbuka October 9 ya kwetu tu
2026-09-09 06:28:17
5
Mabomba classic :
kaacha historia ya ushujaa ndo maana watu wengi wanapenda kuifuatilia ata ww unaweza kutafura historia ukawa shujaa kwenye historia utayoiyacha..
2026-09-09 07:05:17
7
BARAKA ARBOGAST :
ERENESTO CHE GUEVARA so sad forever loving
2026-09-12 01:24:29
8
༆𝐌𝐁𝐑𝐀𝐙𝐈𝐋 𓃬🇧🇷🥷 :
UKIWA MTU WA HAKI LAZIM UCHUKIWE HILI NMEJFUNZA HATA MM KWNY MAISHA YANGU😒
2026-09-30 21:23:15
2
thugangel :
mwanangu wew
2026-09-29 16:55:29
1
Abdutwalibu Hassan :
so sad
2026-09-28 17:14:06
1
Madebe Bahati :
Kama tundu lisu tu kutetea haki zawatu hata sio ranch yake Che Rip🙌🏻
2026-10-01 03:28:54
2
Lisa Said :
may he rest in peace a real here Jesus Christ please be with him forever
2026-09-25 17:00:24
1
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.