hiio beachi ina mawe yanayo umizwa watu hawaja wai oga apo
2026-09-08 18:56:18
3
maryam nenga :
baba yangu alikuwa ana penda kutuleta uko sasa hivi sipataki hata kusikia namkumbuka sana baba yangu😭
2026-09-17 08:45:50
3
iamsuuh_tz.23🇹🇿🦋 :
Ukatoa stress 😂
2026-09-08 18:44:08
2
camila……🦋💫🌸💵 :
Ila hii bure bhana😂
2026-09-10 18:35:09
2
𝒂𝒏𝒏𝒆𝒚 𝒓𝒂𝒎'𝒔 🐶💞💦 :
si ndioo jaman bureeee😁tanga yetuuu
2026-09-09 11:53:59
1
DENES GRAYSON :
Beach Kimba hiyo
2026-09-10 12:28:55
2
banda🔥 :
ivii Kwann watu wanalipia beach broo
2026-09-09 19:35:14
0
Mtanga og :
2026-09-11 12:27:37
1
🦋Halima🦋chambo🦋 :
jeti
2026-09-08 18:12:35
0
Wakude Vera :
poa
2026-09-11 06:22:41
0
Ramie❤️🩹❤️🔥 :
oga we basi
2026-09-09 06:21:40
1
Froriana :
jamaniii Raskazone hiyoo nimekumiiss balaa
2026-09-10 09:18:15
0
Chrisnice Tz :
jet
2026-09-10 12:10:11
0
baby face :
usiombe uende siku kuna gar la majitaka😂
2026-09-13 13:10:01
0
👤😡 ᵖⓡᎥ𝓷ᑕE Μ𝐈ς𝐡ᵃᵉ𝕝 🍫🔥 :
hapa hakuna kuongelea maweeee
2026-09-11 13:55:25
0
Hysa :
beach inafaa kukuewa za public hizi beach ni NEEMA za wananchi
2026-09-19 04:36:47
0
mama mariamu :
jeti
2026-09-08 17:13:40
1
tanga girl🙋♀️ :
nikweli ila kuchafu
2026-09-09 16:45:43
0
Sahil shariff :
hiyo ni bomba ya maji ya choo ndugu yangu
watu hawaruhusiwi kuogelea kisheria na pia Kuna mawe mawe yanaumiza watu....
wanao ogelea wanaji force tuu....
ndio mana maeneovya kuogelea yametengwa.....
2026-09-09 18:47:49
0
Ben Chris :
duhh Jet 😂
2026-09-10 06:21:50
0
Sir Nyangusi :
Tanga Mabegani 💪
2026-09-10 16:48:12
0
꧁༒ STENGING EZZE ༒꧂. :
Kule pia bure.
2026-10-06 21:24:06
0
GFK rhymes trap :
Tanga kwetu yeeeenaaaneeee eekaduuuu.
2026-09-09 19:29:04
0
Nurdin Ayubu :
jet
2026-09-09 10:28:38
0
To see more videos from user @visit_tanga69, please go to the Tikwm
homepage.