nyimbo ya bahati bukuku ndio inaanza. waraka wa Amani.........
2026-09-09 10:36:11
11
subira shabani :
Tanzania nchi yangu nakupenda kuliko husiano langu🤣
2026-09-13 21:56:21
11
Madam Neema :
napenda nchi yang ya tanzania kulik kaz yangu ya uwasibu
2026-10-02 09:31:02
2
💗PINK WITE💞💞 :
nyie mnao ombea wenzenu mkumbuke na nyinyi njia ni mojaa
2026-09-17 20:51:27
3
5G :
Mbn rejareja 😂😂
2026-09-08 23:15:37
2
aman simba 6 :
2026-09-16 09:26:06
1
Mwamba Dee 💪💪 :
Kuna mtu anasoma comment TU ye ameshindwa ku comment 😂😂😂😂😂
2026-09-09 17:41:16
8
maningo🤑👿👽 :
broda Jesus's
2026-09-09 15:58:23
2
DREW45🤘🚨 :
mi sitiii neno nisije nikaaribu ratiba za Israel bure😅
2026-09-09 18:48:41
2
💞iam aneyra💕 :
mungu anaanza na hawa wadogo kwanza.
2026-09-16 11:46:27
2
NICHOLAS storm⚡ :
utatuwa kwa baraka baba
2026-09-17 00:55:14
3
Corazon Twins 👩❤️👩💞 :
unae mwana sheria?
2026-09-09 12:36:32
0
Shinyanga Icon :
Kuna mwaka baada ya kumaliza form six nilipata nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi kupitia wilaya ya Rungwe kwa msaada wa mzee mmoja sasa hivi ni marehemu wakati ule hakukuwa na mambo ya Jkt, Niliporudi nyumbani kujiandaa na safari ya CCP chuoni mke wa yule mzee aliniuliza wakati wa chakula cha jioni je? Umeamua kweli kwenda kujiunga na polisi na kujiweka mbali na Mungu? Ile kauli ilinichoma sikuenda kuripoti ndiyo pona pona yangu. Namshukuru yule mama.
2026-09-18 21:21:38
4
TATHIMIN🌹 :
jamn mung wetu anatufulahisha duu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 12:14:32
2
Lizzy Min@j👸🏾 :
kweli watu wanasamehe ila hawawezi sahau😳
2026-09-19 19:51:35
1
Onesmo Mvella :
bongo sihami
2026-09-17 18:50:02
1
Marenga :
Mungu ongeza hiki kipawa jamani
2026-09-09 17:26:29
2
42pop :
angayoooooh ngayoh ngayooh
2026-09-16 19:28:42
1
regina nisetasi charahani :
🤣🤣🤣🤣🤣 Asante baba kwakomente zinazo enderea kutupa moyo
2026-09-18 05:18:28
1
Recho John Manyilizu :
mungu mbona unatoa rejareja hivyo 😂
2026-09-09 16:42:06
1
To see more videos from user @engineerjr8, please go to the Tikwm
homepage.