@azoretechtz: Did you know unaweza kuficha chat zako za siri WhatsApp kiasi kwamba hata mtu akifungua simu yako ASIZIONEE kabisa? Sio tu kuzi-lock - this secret trick inazificha 100% mpaka u-type Secret Code yako kwenye search bar! How to do it step-by-step: 1️⃣ Long press chat ➡️ Click dots 3 ➡️ Lock Chat 2️⃣ Open Locked Chats ➡️ Go to Chat Lock Settings 3️⃣ Turn on Hide Locked Chats ➡️ Set Secret Code yako (PIN au Emoji) Done! Chat itatokea tu ukiandika code hiyo kwenye search bar. 💥 Comment "TIPS" hapa chini for more tech tricks! #whatsapptips #techtricks #whatsapptricks #azoretechtz #smartphonetricks