@isackpate: Watu wengi wanahangaika kuongeza miaka ya kuishi, lakini wanasahau kuongeza maana ya maisha yao. Siku moja hutakumbukwa kwa muda uliokaa duniani, bali kwa alama uliyoacha kwenye maisha ya wengine. 💬 Swali: Wewe unaona lengo la maisha ni nini kwa neno moja? Andika kwenye comments. 👇 #IsackPate #RealLife #LengoLaMaisha #Motivation #LifeLessons

IsackPate
IsackPate
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 17:22:43 GMT
13666
630
2
16

Music

Download

Comments

rukia.karata5
R.K :
nikwe kabisa ndugu yangu
2026-09-09 04:48:21
1
user4534154300790
user4534154300790 :
🥰🥰🥰
2026-09-08 19:53:05
1
To see more videos from user @isackpate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About