@userabuyali: @ABUY WA AHLULMADINA @hamil @jhanak kejindage @%Nana Sumaiya% @[email protected] #trendingvideo #fypp #foryoupage❤️❤️ #tanzaniatiktok #oman

Abuy Ali
Abuy Ali
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 17:35:37 GMT
20021
721
353
102

Music

Download

Comments

abouayman197908
DR. JUMA OMAR :
hahahaa nakumbuka nilitoka bandarini naitaka darajani nilikwenda,kutokezea mnazi mmoja
2026-09-08 19:21:05
15
haikall_r_ali
Mr.Kimbe :
Mbn mm nazijuwa na sio wa mji mkongwe 😁😂😁😂😂😂
2026-10-05 11:50:48
3
yussufalriyamy416
yussufalriyamy416 :
Tuna alama zetu wenyew🤣
2026-10-10 08:33:44
1
mishonopambezanzibar02
Mishono_zanzibar_pambe❤️ :
Ukiijua mji mkongwe hata dubai huwez kupotea😂😂
2026-10-08 04:05:05
2
tricenicole8
♈️Trice_nicoleᥫ᭡. :
Siku nilitembea nususaa nzima naitafuta darajani ila najikuta bandarini tena Nika panda t boda kama sina Pesa siendi stontown mm😂😂
2026-10-11 10:34:11
1
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Hakikisha unaegema ubale wa kushoto saana ili usipotee. Hakikisha kona za kushoto ziwe nyingi kuliko kona za kulia🙏🙏🙏🙏
2026-10-10 08:14:09
1
sophy.tameem
sophya tameem :
Tangu nizaliwe mpaka leo hizi njia sizijui😂😂🤣
2026-09-09 23:26:57
4
littlechef6183
Lee :
hizi njia ujue zote zinaelekea foro pia ujue zote zinaelekea mnazi mmoja na ujue zote zinaelekea darajani pia ujue zote zinaelekea kiponda yaani ukikosea kuk-cross t umekwisha 😅
2026-09-13 07:53:07
3
user26053793428623
Ruu Ali :
mi uko sendi labda nifatane na mtu😂
2026-09-27 14:51:49
3
mahrasaid3
Mahrasaid :
dahh , Asante Google map
2026-09-19 08:58:04
1
zahrakaif20
zahra :
afadhali wew mm nilitok bandarini nikatokea uko uko bandarini😂😂
2026-09-09 10:38:37
2
usermunawwar1
user9732679863282 :
nilikuwa natokea bandarini nakwenda daraja nilijishtukia nipo shangani tena baada kuuliza naona vinyota vyota sielewi naambiwa dada hapa shangani 😂😂😂😂 we mimi natoka forodhani au bandarini nafuata barabara kubwa mpk malindi au darajani ndani ndani chochoro labda niwe n mtoto wa mjini ila mimi.wa ng'ambu sithubutu 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 04:48:28
1
user9004137600901
ummy mayah :
2026-09-09 12:06:37
3
_m.a.m.o.u_
🌸👸🏻 :
2026-09-09 09:23:00
2
libero12phone
Libero :
Kishaumia alooo
2026-09-09 10:08:43
1
bulushi.mohd
Bulushi Mohd :
alooo hio rahisi kwa bandarin
2026-09-15 09:23:08
1
_phoden47
Philfoden :
nakumbuka nilitokea forodhani wakati niliitaka bandarini halafu nyumba zoote zimefanan 🤣😂🤣
2026-09-09 14:11:55
0
hassanmangi41
hassanmangi41 :
kake habar. mbona siku hizi hautupi lahaja za kwetu Aloo😂😂
2026-09-09 19:01:59
0
abdially96
Abdi Abshad. :
Apo ushafika bandarin baada ya ilo jengo pana hotel inaitwa Golden tulip na best western utakuta kituo cha boda
2026-09-09 02:40:49
1
sada81581
🦋🌺جُنَيْنَة🌺🦋 :
me nishawahi potea🤣🤣🤣
2026-09-09 05:55:43
1
saiab24
saiab collection :
tulitoka bandarin kwenda darajan nkamuambia dada angu huko unakoenda siko tupite huku akasema ndo huku uwiiii tulijikuta tunakaribia mnaz mmoja😂 na hvo kwa kuuliza😂
2026-09-09 09:16:39
1
chirau_apple
Chirauapple♋️ :
Tuzijue vipi 😂😂😂😂😂😂 uliza usije kimbiwa na meli
2026-09-09 06:40:39
3
abdul.kh07
Abdul Kh :
wala hakuna shda uko ukuzoee tu wala hakubabaish sana
2026-09-09 06:59:38
2
kombofaki01
tend wem wend zak usingoj malp :
2026-09-08 20:37:20
2
daudikijana
Daudi Kijana :
MIE MJI MKONGWE SIPOTEI ILA KWA MAJINA SIYAJUI
2026-09-09 11:30:26
2
To see more videos from user @userabuyali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About