@iam_fakal: PART 02:MZINIFU 💔😩@Aley #creatorsearchinsights #viral #viralvideo #fyp #iam_fakal

FAKAL
FAKAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 17:50:36 GMT
84374
8217
125
219

Music

Download

Comments

insaanhuman555
insaanhuman :
nice I wish it was like this ....zina haingekua
2026-09-09 14:37:48
0
abbady_6
al abbady 💎 :
na imeharamishwa hayo kwa waomuni hujamalizia aya hao hawaruhusiwi kuoana mashallah mafunzo mazur allah azidishe nguvu yenu ili muendelee kufunz watu
2026-09-09 07:39:34
25
leeomy6
Lee Omy :
haki za binaadamu ndizo zilizoharibu maadili yetu, mungu atusamehe makosa yetu, amin
2026-09-08 18:10:51
91
123soulmate5
123soulmate :
Mashallah hakika na hiyo ndio hukmu yake hongeren sana
2026-09-08 17:57:30
30
bint.mrisho
bint mrisho :
mwenyezi MUNGU nakuomba mjaalie baba ang awe na malez km ya huyu baba 😭😭
2026-09-09 12:17:47
10
ibrahimally__
IBRAHIM ALLY AL-ABBAD :
izo bakora zinakatika vo, mijeledi unaijua ndo inayotakiw tena iekwe mijeledi 100 tena kila mjeledi na kaz yake ..sio bakora hy hy moja inapgiwa mara mara 5 , ila mafunzo mazuri ,na hao hawaruhusiwi kuoana isipokuwa wakitubu toba ya kweli na baadh ya wanazuon wanasema hairuhusiwi moja kwa moja ht km wametubu , kma huamini uliza mashekhe, ila masha Allah mnajitahd ktk mafunzo
2026-09-08 18:37:28
10
amor_nation.45
Amour_4️⃣✊ :
wajina angu Amour anatetea wazinifu😁😂
2026-09-08 20:10:26
7
osbonmuharram66gmail.com
osbon :
mhhh hizi dini hizi mbona zinatukandamiza na zinatumia ubabe
2026-09-09 06:13:59
3
user869238619901
abdul azizi ramanzan :
mashall
2026-09-09 13:59:41
0
456mpoki
user7875811590496 :
uzur hiyo sheria ipo dini zote mbili
2026-09-09 09:15:27
5
user844789453
Nigason Master :
ni makosa , mafundisho hy sio sahihi , cha muhim ni mashahidi wanne , sio kitu chochote , ni mashahidi wanne 4 , ambao wameona tendo Hilo dhahir Shahir , utupu wote , iyo ndio maana ya mashahidi , ALLAHU AKBAR 💔💔💔
2026-09-08 20:02:58
4
user1496961737022
salum :
eti ndio kwanza 95😂😂😂😂😂
2026-09-09 06:34:32
4
kaby0090
kaby tz :
mtume muhamad asaliwe waislm wenzangu
2026-09-09 13:37:51
2
mohd.chile
moh'd chile :
mashallah nimepende kwakweli
2026-09-09 08:40:04
2
zaynabhemed
Ziii :
kumbusha zuri lkn ndo hatuzfat izo hukumu
2026-09-08 19:02:20
3
yasrin_yux
Yasrin Yux :
Allahamdulilah
2026-09-09 07:25:01
2
dosto_..naho
Dosto_. naho :
baba umefany vizur sana
2026-09-09 07:16:39
1
edo_kichuya_25
edo_kichuya_25 :
saw ila wanaume walio Shiba ndio wapigaji wawe ila somo tosha masha allah 🙏
2026-09-08 19:15:25
1
fakihmbarouk692
Fakih Mbarouk :
sawa
2026-09-08 19:57:42
2
user8240167797614
1532 :
next
2026-09-09 14:22:18
0
etootz0
etoo :
shee ulisema unaanza na mwanamke
2026-09-09 15:17:48
0
el_mazroui
I'm_Just_michi :
na mzee kwny kubonda namkubal😂😂
2026-09-09 15:06:50
0
50.senty
50.senty :
ao hawafai kuona
2026-09-09 15:20:43
1
samirikiroga
Samiry :
allahu akbar
2026-09-09 14:33:07
0
mwajux743
mwajux :
mnaweza👌
2026-09-08 17:57:51
0
To see more videos from user @iam_fakal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About