niliambiwa nimeiba real 1000 na nilikia na wiki 3 kwa nyumba na wakanishikisha hadi msahafu niape kama sikuchukua😳 sitawasamehe
2026-09-09 04:37:52
28
ummumuhammad :
Kila nkiwa napikaa anakuja kupunguza moto Hadi kuchemsha mayai anaweka kamoto kadogooo 🥲🥲
2026-09-09 16:28:39
18
💛💛sweety ❤️❤️ :
mm uyu bibi cwezi kumsahau ktk maisha yng yote niliumwa na nikalazwa na asubuhi aliniamsha niendelee na kazi wallah alllah azidi kutupa nguvu wapamban wote💪🥹
2026-09-09 05:11:16
25
Oddoh~Stylish 🇴🇲 🧵✂️ :
Aliniambia tz ni maskini Sanaa. Ata BABA Yangu ety alikufa kwa sababu ya UMASKINI... 😔🙏
2026-09-11 10:19:51
11
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Bora ninyamaze tu
2026-09-09 06:28:23
5
Minay cuty mom :
kuzimiwa wifi n kuwashiwa mda w kupumzikaa
2026-09-09 12:10:07
7
shani :
kusem Kila kitu nitikie sawa na vingine havipo kwenye sheria n kanuni ya mfanykz
2026-09-09 06:05:44
11
twins :
alinitukana hadi baba angu tena ilikuwa siku ya tano kufariki,sito sahau[Facepalm][Facepalm][Facepalm]
2026-09-09 05:31:31
9
it's mimi🫶 :
nimesoma comment mungu akawatie nguvu kwa yeyote anaepitia changamoto huku gulf sio kurahisi kabisa 🙏🙏 kulia inaruhusiwa lakin usikubali kukta tamaa 🥰
2026-09-09 12:34:05
16
🦋Lattys🦋Heena🦋 :
Kuniambia nime iba nguo zake angali aliziacha kwa dada ake hiki kitu nikikikumbuka makosa kabisa confidence ya kumchangamkia 🥺
2026-09-09 06:29:34
6
🎀Winny🎀 :
nilipomwambia awe nanipa pesa yng kwa wakati nyumbani ninachelewesha majukumu yng akujibu chochote ... apo apo nikaamini msemo unaosema mwarabu anamuda wakukupenda Wala atokaa aupate anaitaji tu kazi yake isonge basi 😔
2026-09-09 16:07:58
5
G🌹🇹🇿 :
niliambiwa nimeiba rial 50 nilikuwa nikilia kwenye mswala week mzima Mara ya 2 nimeambiwa nimeiba bangili Pete 2 za gold had wakanipeleka police nilikuwa nalia kwa mswala nakumuachia mungu Ila Hali wanayoipitia kwa sasa😳dah wanakoma
2026-09-09 07:37:46
5
jofrey💥💪 :
hizi kidog ndy point, lakn si wale wanawaza matusi tuu kila dakika😂
2026-09-08 19:42:27
6
🦒 wa mzee omary💫💫✨️ :
ni story ndefu ila tu kwa ufupi aliniqmbiq loho yangu nyeusi kama rangi yangu ninaloho mbaya sina baraka tangu ni ingie kwenye nyumba yake amna kinachostawi...🥺🥺any.allah kbar.and allahmdullillah.nimesamehe.leo mpaka kexho kiama🥰
2026-09-09 09:12:45
5
Aisha Aisha 6979 :
wali nizurum ela ya miaka 2 kila mwezi walikuwa wanakata rial 10 Mungu atawalipa
2026-09-13 16:48:04
0
sada chuna 😘 :
walinisigizia nimekunywa juice ya mtoto na likua nimekunywa ukweli lakin nikaeka box tena kwa frij
2026-09-14 11:03:35
2
aysher :
aliniiambia mvivu nilipo sahau kuweka maji 😂😂mezan
2026-09-09 15:06:38
1
dada lulu tz :
hakuna yote ya kwaida
2026-09-09 16:22:38
1
Sr evan gilberte :
mimi niliambiwa eti nilibeba mafuta ya nywele mapya nikayaweka kwa zibala wakaniamusha usiku wamanane eti twende barabarani kutafuta kwa izibara kubwa
2026-09-14 15:41:03
2
Mwajabu Mustapha :
Mm naomben kiti nikae mnipatie maji barid alaf nianze kuongea ila yote kwa yote nimebakisha muda kdg nimelize mkataba mungu yupo anatupatia nguvu wallah gulf sio poa.
2026-09-10 10:20:30
1
Aunty Haririy :
sana dada na machozi tele jaman,😥😭😭
2026-09-09 12:48:50
1
To see more videos from user @its.young.moma, please go to the Tikwm
homepage.