@wothayakenya1:

wothaya  kenya 1 🇰🇪 ❤️❤️
wothaya kenya 1 🇰🇪 ❤️❤️
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 08 September 2026 18:06:07 GMT
133362
2362
99
192

Music

Download

Comments

user73722248565387
NNb :
Mama pole bhana my president
2026-09-10 17:23:28
1
user4305816888471
stella :
pole mama
2026-09-10 07:51:17
0
caroline.atieno499
caroline atieno :
watatu
2026-09-08 20:48:40
4
deuschuchuchu
ELUTION na C.I.P FUND UMEME :
kwaiyo walitudanganya kuwa wajane ni wawili kumbe ni 3
2026-09-10 11:48:50
6
kotazedon
kota dog trainer :
pole sana raisi wetu
2026-09-10 05:16:01
8
user3056792148768
Mghande :
huyu wa kwanza ni wa rais mwinyi ! je.kuna ukweli kwamba hawa wengine ni wenza ? kuna tone la uongo
2026-09-11 09:05:34
1
lucky_height
Lucky :
wimbo was catho ama?
2026-09-08 19:56:52
4
user7461010523757
Regina :
mama mkabidhi Mungu maisha Yako piga moyo konde hakuna linalodumu milele nakuombea safari yako ya kuongoza watanzania amina ....
2026-09-10 12:44:34
3
evelyne.kaombwe
Evelyne Kaombwe :
mbon mlitagaza wajane 2 nahapa naona wa3 tn
2026-09-09 18:05:29
1
user20163454022533
jeco mwakilema :
Kumbe alikua na wake watatu wanavosema wawili
2026-09-10 08:12:42
1
samiracharles972
samira :
hata wale walio poteza maisha octoba waliku watu anaumije kwa mtu mmoja tu mhmm
2026-09-11 04:16:48
1
user6388761140857
Momma :
Kwani wako wangapi? suluhu ni wa ngapi?
2026-09-09 09:06:01
2
josephinembezi633
Josephine Mbezi :
pole sans mama kipenxi mungu akawe faraja kwako nz familia
2026-09-10 06:29:40
4
majayden62
@cute :
wake wenzie ni wasomali mbona wazur hivyo
2026-09-10 10:40:54
0
josephatnzau
josephatnzau458 :
mimi naona wanne ama sioni poa
2026-09-09 20:31:36
4
shakirawaziri248
Shakira Waziri :
pole mama Allah akufariji
2026-09-10 17:48:27
1
esnadyesnady
esinard :
pole mama yangu mungu akupe nguvu yakushinda huu uzuni pole san mungu ni mwema
2026-09-10 17:14:30
2
maria_abdullaman
maria Abdullahman :
pole rahisi wetu
2026-09-09 20:30:42
1
drenah18
drenah❣ :
Kati ya wote hapo naona mama katisha kwa uzurii🥰
2026-09-10 10:15:40
2
dianarugemalira67
Diana Rugemalira :
Wamekuwa watatu Tena cyo wawili mmmmm
2026-09-09 12:00:04
1
sulley.mar
sulley Maryam :
Allah akupe wepesi mama
2026-09-10 09:45:35
1
user61606101181573
user :
mzae tried
2026-09-08 18:45:57
2
user4651036701972
User R :
Pole sana Rais wangu Samia suluh Hassan, MUNGU akupe subra hekima na uvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu, akufanyie wepesi katika Kila hatua unayopitia,
2026-09-10 10:01:48
1
user4379276102303
Beatrice :
poleni sana mama zetu mungu awape tumaini la milele
2026-09-09 11:40:04
1
sijapendasitaki
rumeys@ $,💞💞🥰 :
hata wale wa October pia waliumia
2026-09-10 05:30:38
1
To see more videos from user @wothayakenya1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About