Maana yake yeye jamaa binafsi anajaribu kumpenda mkewe lakini anaona kama anajilazimisha, kwahiyo hiyo ya kwanza I love you aone kama atakuwa anampenda imegoma 😂😂, akajipa wazo labda ampende kama mkewe ndio kabisa haifanyi yaani imeshindikana 😂😂🙌
2026-09-09 17:26:27
9
Nezhalone🫨🥷🏾☠️ :
So poah
2026-09-08 18:42:01
0
elizabeti255 :
asantee broo
2026-09-08 20:40:28
1
litness :
kamaanisha asifungue sim bado anampena sana[Red heart]
2026-09-09 15:36:12
7
JOH KAMZOZO :
Movie inaitwaje
Chanel YouTube
2026-09-08 21:19:16
0
Ismael :
next part please
2026-09-08 20:24:18
2
ibtisam :
yan kama hujaelew nikwamba mxhkaj anachoongea ndyo password ya cm yake ila manz ndo hajaelew na wengne mpa now hamjaelew 🤣🤣 xhda ni angalia jibu na swali🤣🤣🤣
2026-09-10 00:55:51
1
bosskubwa :
mbosso girl
2026-09-09 14:38:38
1
Gowele diana🌚 :
Sina hamu we me wangu jana kasema bora uniue tu😂😂😂 kazana kupenda mamah ata sijui ikawaje nikasahau😆😆
2026-09-10 03:27:17
0
Vale Raba Kariakoo :
kama watoto
2026-09-09 05:43:47
2
Raj boy :
mbn watu hatujaelewa na amsemi jaman
2026-09-09 19:08:01
1
Mmline :
😂😂😂😂😂Nimeelewa
2026-09-09 20:42:52
0
Matter girl :
We huyu Dada kama namfananisha ety
2026-09-09 21:02:08
0
🧢KAHUKA 👑 GERLA☑️ :
ila kuna mtu âme weka ndoto yake hapa
2026-09-08 21:09:14
1
Dina Harun :
nimeelewa[Snicker]
2026-09-09 18:06:22
0
Bandola :
Movie inaitwaje
2026-09-09 18:53:23
0
YAKUZA G@NG🥷 :
jamaa anajuwa mkewe akifungua cm lazima wagombane ndo maana amemwambia I LU
2026-09-09 19:26:04
0
@ MRS MANUTYNDER💕💕 :
duh ila ndo mapenzi yenywe najua ww upo na hujaelw njoo nikufungue masikio😁
2026-09-09 20:47:49
0
Mmline :
ndoivyo tunavyo jiskia atujaelewa.......
2026-09-09 20:42:32
0
Inocent Daudy :
unajua kaka
2026-09-09 20:25:44
0
JJ_OUTFITS :
namba jina ra hii move
2026-09-08 19:54:12
0
To see more videos from user @apex_film_studio, please go to the Tikwm
homepage.