daaah long tyme san hiii duuuuuh imenfany nkakumbk mbalaaa, TV za kichogo duuuu
2026-10-22 21:49:49
1
malakai Richard :
Yupo wapi huyu jamaaa
2026-09-25 06:43:05
5
miss b🕊 :
nakumbuka mbal san nlikua na miaka 13 jmn
2026-09-26 19:21:13
2
The teacher. :
Kipindi hicho tunaenda kuonesha video kijiji kwa kijiji kiingilio 200 tu na movie za kina Anodi shoziniga na rambo, misukosuko, Saradini, Sam daaah ilikuwa pw sana aisee
2026-10-21 15:02:32
2
Daddy Faby :
kitambo sana
2026-10-21 18:15:15
1
Semelwa :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umenikumbusha mbali sana dahhhhhhhhhhhh