@najelbuilders: TILES PENDWA SANA KWA MWAKA HUU 2026 Ni tiles ya 60 x 60 yenye ugrey kwa mbali Ni tiles ya kiwango unapoitumia popote Unaweza kuitumia kama wall na kama floor Inaendana na rangi yoyote ya ukuta wa nyumba Kwenye Box moja zinakaa pic 4 Box 1 linajenga ukubwa wa sqm 1.44 Kwenye duka letu la Dar Box 1 @ 38,000 Kwa duka letu la Dodoma Box 1 @ 39,000 Kwa Duka letu la Simgida Box 1 @ 40,000 Kama upo nje ya mikoa ambapo maduka yetu yapo, basi tunakutumia kwa bei ya Dar ya Box 1 @ 38,000 Kama ndo unajenga please usiliache hili ua, ni tiles nzuri mno na ni mpya Wasiliana nasi kwa kupiga au whatsapp 0719 870 850