kaka mm imenitoka nimemtua ela program aja nitumia
2026-09-11 10:05:54
0
Yassir Juma :
mimi wakwanza nili tapeliwa sanna
2026-09-11 08:18:43
0
SHUA TACHI PRD NI MALONGO :
daa kweli ishanitokea
2026-09-09 15:14:26
1
𝘽𝙧𝙤𝙬𝙣 𝙈𝙖𝙙𝙚 𝙄𝙩🎸 :
mimi sitamtaja kaka ila nilipigwa 60000 nilitaka kontankt full na omnsphere akasema ataniongezea na zingine nyingi lakini hali ilivyo kuwa nilipigwa Brock sikupata hata Purity tu yaani daaah ilinikatalisha tamaa lakini ilipita hiyo haliii kaka
2026-09-11 08:32:24
0
kbd_sound_Record_kilindi :
au Basi
2026-09-09 11:30:13
1
MSHAMBA PHOTOGRAPHER :
sahihi
2026-09-10 21:13:06
0
sam ma beats producer :
wanafeli sana jamaa
2026-09-09 12:30:49
0
Petronilah Lwova :
ata upcoming artist wanakipitia mikononi mea producer
2026-09-09 04:06:15
0
Roger breezy :
kwl bro me ishanitokea inauma sana
2026-09-09 09:13:34
0
Chipe_Touch :
Zarau tu
2026-09-09 02:15:43
0
Faustine Porotas :
isharaaaaa
2026-09-09 03:12:25
0
Min. Vin {ElimMusic} :
😂Acha mimi nicheke tu.
2026-09-08 19:49:20
0
Japheth Costantino :
Mimi sasa uwa ndio natapeliwa uwa nampa mtu software na wanakimbia au akupi ata 10 na umemsaidia kwa roho safi adi mtu akiniuliza kama nina software furani namwambia sina ndio kutoa uchungu na kumchukia mtu kisa utapeliwa so ata nyinyi muwe waaminifu