@issackadamu3:

issacka adam
issacka adam
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 18:25:13 GMT
60994
2260
421
304

Music

Download

Comments

mama.wawili1431
mama wawili :
Sasa Sofia kakosea Nini apo?? usichanganye cheo na hisia! Mimi mwenyewe namtaka huyo mkuu WA mkoa!
2026-09-09 04:16:01
80
sadam.issa97
Sadam Issa :
tutachanga sio shida zetu
2026-09-08 22:45:14
44
anastaziapaulo1
anastazia sayi17 :
good nasisi tunapenda jamani kwahiyo nikawaida,, mm ilishanitokea kabisaaa, [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] hafu kijana wa kawaida kabisaaaa, ila hisia[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-09 07:21:49
0
luhendemathias368
Matty :
Mbona si tunatongozwa tu na wadada wala hatuwatangazi😌
2026-09-08 21:50:06
62
shaksia6
SHAKSIA :
Je yeye anatongoza wangapi?
2026-09-08 20:50:52
62
user92610384227833
Ester mtafya :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved],ngoj niache kutongoza wansumee
2026-09-08 21:27:47
1
mommyd425
Mommy D❤️‍🔥❤️‍🔥 :
Kwan no sophia alpata wap
2026-09-09 08:03:21
0
renny.black.beaut
Aineksha🤎🤎🤎 :
MASWALI YATKUWA HIVI 1. kamtongoza kupitia njia gani?, barua, simu, au hadharani? 2. kama ni kupitia simu, namba walipeana wapi? 3. walikuwa na agenda gani kabla ya kutongozana? kiukweli overthinker tunawaza mengi sana 🤦‍♀️🤦‍♀️
2026-09-09 05:51:30
15
mamagibson.com
J🌹🌹 :
kama sio kosa ngoj namm nimchek mkuu wamkoa wetu 😂
2026-09-09 04:07:21
16
user8327857905
@ja Davis :
respect 😎😎😎😎
2026-09-09 10:43:26
0
vinodnyaiyo758
DR. VINOD NYAIYO :
Mkuu wa mkoa nilikuona upo sahihi Ila kwa hili umefeli braza
2026-09-08 22:01:01
15
born.to.suffer12
Born to suffer :
Mambo mengine kwa maoni yangu ni kujidhalilisha tu wala hayapaswi kuwekwa kwa hadhira. kama nimekosea, mnisamehe.
2026-09-08 21:33:54
20
rukia.kengeja
Rukia Kengeja :
ni sofia gan jaman
2026-09-09 03:03:28
7
emilliana7044
emilliana :
waoooo
2026-09-09 11:39:33
0
sophygili3
Sophy :
Sasa nikipenda ni dhambi jamani 😂😂😂
2026-09-09 05:52:10
6
tumainimaro
Elitumaini maro :
Naomba no ya huyu mwanasheria
2026-09-08 21:51:27
18
kinglato26
kinglato26 :
Nchi ndo ilipofikia hapa
2026-09-09 03:05:33
6
bossx72
Boss :
tuna viongozi waovyo sana hii inchi yan uchafu kabisa
2026-09-09 04:31:05
13
user7553193461141
userbeauty ummy :
mh mambo ya ajabu
2026-09-09 04:26:26
7
shaksia6
SHAKSIA :
Kwani kutongozwa ni shida jamani?
2026-09-08 20:50:42
7
pendohezron4
Charlotte :
kweli kabisa huu ni uonevu kabisa kama kutongoza ni kosa wengi wangekuwa wamefungwa
2026-09-08 21:27:35
5
janethjustin525
janethjustin525 :
Hii kali ya mwaka 😂😂😂😂 Tanzania sihami ng'o
2026-09-09 07:40:58
2
d333ee9
Aaaaaaa9 :
Kwahyo na sisi tukitongozwa tukashtaki?🤣🤣
2026-09-09 07:44:20
2
ashanti9566
ashanti :
jamani msaidie mbona mimi kuna mtu namuitaji yupo selikarin nafanyaje sasa
2026-09-09 08:13:04
1
user86122747262605
Mirha collection ✨ :
Nakubali Mzee 👊
2026-09-09 05:54:03
1
To see more videos from user @issackadamu3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About