@millardayo_: Serikali imeufunga Mgodi wa Dhahabu wa Benjamin uliopo Kitaita, Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro, baada ya kuripotiwa vifo vya Watu watano waliofukiwa na kifusi katika mgodi huo. Mwandishi wa AyoTV amefunga safari ya takribani kilomita 200 kutoka Morogoro Mjini hadi eneo la tukio na kuzungumza na Msimamizi wa Mgodi huo, Iddi Chacha ambaye amesema kwa sasa shughuli zote za mgodi zimesimama kwa kutii agizo la Serikali. Chacha amesema Watu waliofariki hawakuwa wamejisajili rasmi katika orodha ya Wafanyakazi wa mgodi huo, akieleza kuwa walikuwa wavamizi wanaofahamika kwa jina la “Wadudu”, ambao waliingia katika duara ambalo uzalishaji wake ulikuwa tayari umesimamishwa tangu majira ya usiku. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha, amesema hadi sasa jumla ya Watu watano wameripotiwa kufariki katika tukio hilo, ambapo Watu wanne walifariki eneo la tukio huku mmoja akifariki wakati akikimbizwa Hospitalini. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 18:41:58 GMT
99888
2933
69
66

Music

Download

Comments

lamerk123
lameck s kasoqa :
chief nana wewe
2026-09-08 20:18:02
3
ndomba175
ANORD JR :
Sio watu watano inasemekana ni zaid ya watu 20 huko
2026-09-08 20:41:58
11
mayagila1
ZOZZOUA :
Innalilah
2026-09-08 18:51:13
4
userthomasbuhonzi
thom :
Chacha Ndio chief wa gairo 💪💪💪🫡
2026-09-08 21:04:32
4
shimba5
KINJENKITILENGWALE :
nimeshangaa. kijana wangu Idd. kumbe ni chief sikuhizi
2026-09-09 04:49:03
3
mcswallomobile8
𝐌𝐂 𝐬𝐰𝐚𝐥𝐥𝐨𝐦𝐨𝐛𝐢𝐥𝐞 :
JANA TUMEFIWA NA BABA
2026-09-08 18:53:19
8
dicksonedward79
D Tger :
Nimependa ulivyo elez sema unauelewa mkubwa na hiz kaz Asante sana
2026-09-08 19:02:14
6
harrisonroby
Emmanuel :
heh hiyo Roller ?
2026-09-08 19:32:00
3
alphanmzeekazi
Alphan mzeekazi :
Oah chacha we ndo chief hapo mzee??
2026-09-08 20:55:44
3
user4927317523045
mrs meshack :
pole san chacha
2026-09-08 20:16:57
3
jumaghumi
mussa martin :
pole wachimbaji wenzangu
2026-09-08 20:34:22
3
joyce.og8
Joyce og :
mkuu sn
2026-09-08 20:30:52
3
aisha.kamchau
MRS❤️❤️ :
Poleni sana ndugu zetu
2026-09-09 18:09:21
1
user373672749481
fatuma :
polesana
2026-09-08 19:30:51
2
emmanuelmasero179
Emmanuel Masero :
pole San Mungu Awalaze mahali pema mbinguni
2026-09-09 02:07:37
1
adammsagara
Mr pacha :
mzee watu weng San humo
2026-09-08 21:33:13
1
regina.mayala5
ℝ𝔼𝔾𝕚ℕ𝔸𝟜𝟞𝟝𝟟 :
meza heshima yenu
2026-09-09 17:56:04
1
harrisonroby
Emmanuel :
chief umeona hiyo Roller? na hapo ni juu je chini?
2026-09-08 19:32:53
3
kizenga26
Kizenga🇦🇷 :
Dah ni uongo mtupu,wakati kuna watu zaidi ya 50😭😭😭
2026-09-09 01:53:47
1
daniel.boy254
Danny boy :
chini wapo wengi sana lakin hamna namna
2026-09-08 21:13:33
1
user4845991493936
Dee❤️ :
Kaka yangu mie
2026-09-08 22:31:09
1
sheillaissa770
Sheilla Issa :
daaa poleni sana ndugu zangu mungu awatie nguvu
2026-09-09 14:32:22
1
jacksonmhakilicha
Jackson Mhakilicha :
sio watu watano ni zaidi ya watu 20
2026-09-09 13:18:29
1
kennethsimbo
kennethsimbo :
wachimbaji wote mungu tusaidie hii kazi ni nzuri ukiwa na hela mfukoni😭😭
2026-09-09 12:45:17
1
jetysemba
Jety lucy :
mla polen sana nahitaji kazi ya kufunga mkuu
2026-09-09 03:54:47
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About