wataelwa tu Shekh japo ningumu kukubali ata kama utawadhihirikia ukweli
2026-09-08 18:58:43
3
Abuu Mzungu :
ukweli huu kuna wengi hawaujui kwa propaganda za hawa mawahabi lakini sheikh wangu akuhifadhi wafanya jambo zuri sana,
2026-09-08 20:21:18
5
sheikh Ibrahim Said :
shikhe isaam ametaja mashikh WA salaf wamekubali Maulidi,, Dalila wahepa wataka ijmaa ya mashikh WA SASA ya Wahabi..
shikhe isaam wataja mahufaadh wamekubali Maulidi.. Dalila wahepa wataja Bukhari na Muslim hawakutaja Maulidi...
Dalila amesahao kwamba hadithi ziko na Sanad yake,,
Yani mwanafuzi WA hadithi hua wataja hadithi amesoma toka Nani, mwalimu bada mwalimu mpaka afike kwa Bukhari ..
huezi kufika kwa Bukhari mpaka upitie hawa hafidh ambao wamekubali Maulidi...
2026-09-08 20:43:43
0
منورة :
kwahyo shekh sasa hivi dalili ya mawlidi ni kauli za wanavyuoni sio?
2026-09-09 05:18:50
0
uthman :
kuna umuhimu wa kuzingatia hoja za kielimu dhidi ya mihemko ya mirengo...
hapa sheikh Allah akujazi kila la kheri unafungua macho wengi
2026-09-09 04:54:43
1
AlmostRich :
Maneno ya mwanachuoni kama hayafungamani na sunnah za mtume basi maneno hayo hayachukuliwi....
مَن أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو ردّ" (رواه البخاري ومسلم).
2026-09-09 08:56:30
0
abuhydar254 :
tatizo kubwa mawahabi hawapitii hivi vitabu. ingekua husoma kungekua hakuna hizi shida tulonazo sahii [Tears of joy]
2026-09-08 20:10:34
0
SAEED RAMADHANI :
YANI HAKUNA KITU KINACHO NIFURAHISHA KAMA HIVYO KUWABAINISHIA KWA VITABU SASA NI JUU YAO KUAMINI AU KUPINGA. ALLAH AKULIPE KILA LENYE KHERI SHEIKH ESWAM DIIN
2026-09-08 19:12:39
0
muhammadmasoud69 :
جزاك اللهُ
2026-09-09 17:36:56
0
abdallah25455 :
Jazakallahu kheyr
2026-09-08 19:39:50
2
shabani saidi :
الله يحفظك 🙏🥰🥰
2026-09-08 18:58:25
2
waliyyulla990 :
msimamo huohuo kwa dalili kamili vitabuni bila kejeli matusi waachie wengne
2026-09-08 19:07:34
2
SIR YUSUF :
mashaallah
2026-09-08 18:54:26
1
Hassan :
shekhe mungu akulipe mema
2026-09-08 19:01:09
1
TAMTHILIA ZA PWANI :
Maa shaa Allaah Tabaarakallaah Ustadh Iswaam Allaah akuwafiqie katika kula kher
2026-09-09 05:45:13
0
Hanzwala :
Shukraan sana, kidogo kidogo wataelewa tu hao.
2026-09-09 12:08:59
0
user5096128074760 :
maa sha llah
2026-09-08 19:10:16
0
hassan mohammad :
shukran
2026-09-08 22:23:54
0
chamo :
Mashaallah
2026-09-09 13:48:38
1
Abu farhan :
allah akulie skh wang
2026-09-08 21:25:36
0
abdallah :
أكرمكم الله سيدي
2026-09-08 20:59:39
0
naafic :
masha Allah
2026-09-08 20:32:53
0
Juma Ally :
ماشاء الله
2026-09-08 19:41:04
0
Jamal :
Naona mawahabi sahi wamepunguza sana ku comment
2026-09-08 20:05:30
0
user81938027045756 :
Huyu si Delele Ni yule Shehe Mafuta wa Tanga
2026-09-08 19:41:54
0
To see more videos from user @esamkaawele2024, please go to the Tikwm
homepage.