@wuodadwen_: Neema ya bwana ni ya ajabu jameni yashangaza yashangaza Neema hiyo kwangu mdhambi mimi yanitosha yanitosha Imezificha tabia zangu imenifunika sana hata katika kuishi kwangu neema inaniongoza Inspired by Neema | Kings Ministers Melodies #adventisthymns #wuodadwen_ #chandruokbirorumo #oldtunes