@amankafalume: WAZEE ATA MABOSS WANAKOPA KO SIO WAKUSHINDA NAO NDUGU ZANGU 😁🙌✍️ #daresalaam🇹🇿 #tanzaniatiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #bongochachacha #viralvideo

KAFALUME 12🕷️
KAFALUME 12🕷️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 19:04:06 GMT
122960
9423
233
288

Music

Download

Comments

shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-09 06:03:17
0
jumo.harder
jumo harder :
huwezi kukopa bank moja halafu ukakope bank ingine maana bank kabla hawajakupa mkopo wanaangalia kwenye system kama unamkopo hai bank ingine ikiwa inasomeka unao mkopo bhasi bank uliyoiombea mkopo hawakupi mkopo ndio bank's rule.
2026-09-08 20:47:17
24
abelphineas
Abel Phineas :
ww tupe namba ya mganga bana
2026-09-09 03:45:18
21
sorrymom0003
HOMIES BRAND# :
I gatchu
2026-09-09 16:49:23
0
unjuutransportation
Unjuu Transportation services :
Msisahau yuko mtu hanaitwa Saidi Lugumi anasema hakuwai kukopa bank hakiri za kuambiwa hongeza nazakwako msemo wa Jakaya Kikwete Rais mstaafu!!!!
2026-09-08 19:57:32
43
chanso_99
chanso_99 :
kwani hujamaa boss
2026-09-08 20:43:35
7
mariamally4244
Nassor Muhsin :
Uongo mtupu bank hawawezi kukupa mkopo bila mali isiyohamishika. Mashaka matupu.
2026-09-09 07:50:58
4
babavanessa2
babavanessa2 :
bro umesema ukweli ambao ausemwi
2026-09-09 05:39:10
3
sceb23
Sceb23 :
Kudaiwa sio issue. Issue ni kulipa kwa wakati
2026-09-09 06:03:26
2
mohameddykinyota
ShamteEventsTz :
akillll kubwaaaa
2026-09-08 19:41:22
8
nairatjafar
🛀😘😘🛀 :
bradha nimekukubal sana mwanetu
2026-09-08 19:44:24
11
samsalum621
Gunda :
mbona mm hawanipigii sim
2026-09-09 15:07:48
0
romanus723
Romanus :
UTT ndo uti au ndo sijaelewa
2026-09-08 22:12:46
2
issampanye
Issa Mpanye :
huja jamaa anaakili nyingi na nimkweri mno mno
2026-09-08 20:07:53
13
edward36165
Edward :
Dominick wajina wa mzee wangu kabisa
2026-09-09 16:45:13
0
user2302738334358
Lizzy :
bro hongera
2026-09-08 20:09:13
5
user3613733931812
matokeo :
kwan huyu jamaa anafa ya biashara gani,mm ndio namuona leo nisaidieni
2026-09-08 21:10:00
7
mapozy.starx
mapozy starx :
kilaa mtu anadsiwaaa
2026-09-08 20:47:22
5
user844519672091
maisha halisi🔓🗝️ :
usijimalize kijana,Kuna jamaa alikuwa anaitwa billionaire shilla alikuwa anaongea hivi hivi,sijui kafiaga wap
2026-09-09 17:18:46
0
user5834911825225
Fratery :
tangu aseme et anamilik gar ya 170m na analipwa laki 2 nashndwa kumwelewa
2026-09-09 08:14:05
0
mangaliawaterfalls
MANGALIA WATERFALLS :
2B TSH in 36 months means 55M bank repayments per month. Niga u r RICH
2026-09-09 07:41:56
4
its_makero
BINGWA 💜 :
😅😅😂😂😂😅😂😅😂😅 unaikataaje sasa😂😅😂😅😂
2026-09-08 20:46:11
4
mohameddykinyota
ShamteEventsTz :
oy sio powaaa
2026-09-08 19:41:30
4
ipyanasankey
ipyana sankey :
safi sana
2026-09-08 21:10:59
1
mariah_outlook
mariah_outlook Mwanza :
Ata Me nadaiwa 😂😂😂😂
2026-09-09 22:47:22
0
To see more videos from user @amankafalume, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About