@esko_donald: Jamani Jamani ebu tumpe sikio @asmah_majed na mama Faraja walikuwa na hili kubwa ☺️☺️☺️ 1. @simulizinasauti imetajwa kuwania tuzo ya Chombo cha Habari cha Mtandaoni Jinsi ya kunipigia kura (ingia kwenye tovuti ya samiaawards.tz Bonyeza kitufe cha “Piga Kura” au tuma SMS yenye neno SKA 260261 kwenda 15200. 2. @skytanzania ametajwa kuwania kipengele cha Fedha na Uchumi Jinsi ya kunipigia kura Bonyeza kitufe cha “Piga Kura” au tuma SMS yenye neno SKA 260126 kwenda 15200. 3. Mimi nimetajwa kuwania kipengele cha Kazi na Ajira Jinsi ya kunipigia kura Bonyeza kitufe cha “Piga Kura” au tuma SMS yenye neno SKA 260106 kwenda 15200. Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24 BONYEZA LINK KWENYE BIO KUTUPIGIA KURA.

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 19:16:57 GMT
201885
23397
1072
179

Music

Download

Comments

esko_donald
Esko Donald :
NDUGU ZANGU SIJUI NISEME NINI ILA NASHUKURU SANA, NATAMANI NIJIBU COMMENT YA KILA MTU AISEE
2026-09-08 21:16:40
390
husnermuhammedy
Mbarali Kwetu 🌾🌾🌾🌾 :
Nilitaka kupiga mara nne ila wamegoma🤣🤣🤣 Saiv ntakua naiba sm za watu napiga kura napita iv. 🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 05:32:52
78
user24309397510184
eliasykessoysandey :
esko brother nifundishe namna kukupigia kura mm nakukubali mno
2026-09-08 19:57:08
94
lucyfashion20
lucyfashion👔👕👖👗 :
Nishapiga kura dada mda mrefu
2026-09-08 19:35:26
71
thejay002
thejay002 :
tayari na mimi mu Burundi 🇧🇮 nimekupa kura yangu respect brother
2026-09-08 19:31:39
12
my.perusi
my perusi :
Mim mapema nishapiga kaka unafanya jambo nzur
2026-09-10 22:27:30
0
thatgirlveronica1
thatgirlveronica1 :
Nishapiga kura na mungu akutangulie Inshaalla
2026-09-08 19:48:51
19
msnaa184
Naa :
mimi yangu tayariii Allhamdulillah
2026-09-09 03:44:46
5
rehema.msuya8
Jully Msuya :
Esko nishpiga kura,niweza kupiga mara ngapi
2026-09-08 20:02:24
7
baraka.daniel56
Baraka Daniel :
jamani watanzania nini lkn si tum shike mkono huyu jamaaa
2026-09-08 20:17:37
8
wazirikarim
Waziry Jr :
Mm sijawah ila kwako leo nimekupigia kura
2026-09-08 19:54:02
6
linda.daniel8
Linda Daniel :
Nimeshapiga tayari
2026-09-08 19:24:02
6
dalali_hakweya_hakweya
DALALI_HAKWEYA_HAKWEYA :
Kumbe huruhusiwi kupiga kura ma 2 daaaah imeniuma sana nimepiga ya kwanza ime kubar ya ili ime kata
2026-09-08 20:06:31
5
mosesd48
mosesD :
kk mm nilitak kukupigia kura ata mara 10 lkn wamegoma 😂😂 respect bro
2026-09-08 21:00:31
6
jimiasabrina
Brina🦋🦋🦋🦋 :
Am from Uganda but am going to vote for you for the best job ❤️
2026-09-08 19:22:33
13
hamida_kassim1
Hamida Al Qasmi :
Nikiamka tu jambo la kwanza ni kumpigia kura mdogo wangu Esko
2026-09-09 02:52:24
5
dnuru8
Anti 💞Nurati❤️ :
tayri nisha piga kak tupo pamoja kaka mungu akusimamie kaka❤️
2026-09-09 12:49:17
1
mellanin8
mellanin@07 :
Tishapigaa 👍
2026-09-10 09:43:06
1
lor8757
Lor@¹. :
emu ngoja nikapige kura kwanza ndo niludi kuskiliza
2026-09-09 06:52:18
1
user79991401497592
user79991401497592 :
mbona mimi sijaona pakupigia kula mimi namkubari sana
2026-09-09 15:02:04
1
lydiabby2
Lydiabby :
Done
2026-09-09 13:53:41
1
enock.mwamsojo
enock mwamsojo :
nielekwze braza
2026-09-09 12:31:50
0
sifa_store_255
Sifa Store :
Hilo Limeisha , sema kingine Tuko pamoja💪
2026-09-09 11:41:59
1
mamier.ansary
mamier ansary :
tunaona we umepata nielekezen nafanyaje apate kula yang
2026-09-08 21:13:00
4
happymosha37
HAPPY COLLECTION 👕👗👖 :
Kak Yan Hata usitukumbushe tuzo tunayo Na tunatamba Nayo.Mazuri Yako Ni meng mnooo ♥️
2026-09-09 17:27:12
2
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About