@massoudkhaifan: Wakati mwingine tunachohitaji si mali wala maneno mengi, bali mtu anayekuja kuwa faraja pale moyo unapochoka. 🤍🌿 Allah atujaalie tukutane na watu wenye mioyo ya kweli, na sisi pia tuwe sababu ya furaha na faraja kwa wengine. #mahdankhaifan #foryou #fyp #viral