@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 19:22:27 GMT
12333
621
45
28

Music

Download

Comments

user4005813920824
SISTER DREAD :
alikuwa mpambanaji ila mungu hajambless tu Ishaallah mungu anaweza kukupa maisha kwa njia nyingine
2026-09-08 21:30:22
12
alexmbwambo908
Alex :
huyu asipoangaliwa ataondoka tena
2026-09-08 21:26:14
10
benprogram
BENPROGRAM :
Mzee karudi tu na story asee
2026-09-08 22:21:25
1
fiknasyazidu
fik :
kwaiyo ataenda tena 2028
2026-09-08 21:09:34
5
yussufabeid4
yussufabeid4 :
alikuaa hasooo semhh bsss
2026-09-08 20:48:55
2
user7735790205580
Mwana s🌻 :
jamani mdogo wangu mboa hslufitens
2026-09-08 20:36:44
2
othuman.omari5
Simeon mogravic 🪖🪓 :
kweli baba tawi
2026-09-08 21:09:40
2
hawamaulidi0
🫆🦋 :
nchi hatari hizi unawezaje kwa mfano 😳😳😳😳😳😳
2026-09-08 21:54:25
1
hamisi.mohammedy
Hamisi Mohammedy :
bariya wakwer
2026-09-08 21:16:34
2
mis.lome
lolo :
Tawi umemkuta lkn
2026-09-08 21:56:57
1
hussein.suarez6
Hussein Suarez :
Mzee hizo nchi Mbona za hatarii tupu 😂
2026-09-08 21:37:34
1
divinecoin1
T²dvn :
Atiristi huyu akisema nibaba yangu nakubali
2026-09-08 21:49:01
0
mamahannan26
Garden lover ❤️🇹🇿 :
Hii inamanisha usilazimishe kupitiliza kama si wa kupata hupati tu
2026-09-08 22:44:00
0
emanuelhamady853
African 🇹🇿 :
noma
2026-09-08 21:26:21
0
alexmbwambo908
Alex :
hiyo nauli mtaji tosha
2026-09-08 21:26:39
2
wabaya2553
mosani mitumbaTZ :
huo sio upambanaji ni uzululaji
2026-09-08 20:54:14
5
user83817738034801
mwana mayani :
kazurura vya kutosha🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 20:04:26
2
alba.k
ALBA🔹 :
muulize kama anamjua magu
2026-09-08 20:47:40
1
jjbisa0
Maweso Finest :
mtangazaji ety umepambana san 🤣😂
2026-09-08 21:01:38
0
dodo...lee7
kizito Og.. :
Katembea kwenye nchi kama mitaa2 Yani,,, Duuuh 🤣🤣
2026-09-08 21:54:47
0
muhigo6
muhigo :
mtangazaji wetu bana eti umepambana sana sasa apo amapambana na nn?
2026-09-08 22:06:59
0
ngumungu
Rachel designer ♥️ :
yaani selikari ndo inafanya kumurundisha isipomurundisha huyu arundi,na ataondoka tena
2026-09-08 21:42:28
0
wanamngatwa
wanamngatwa :
ukiondoka Tena ukirudi usimtafute tawi
2026-09-08 21:49:25
0
bamileck1
bamileck :
iyo njia aliokuwa anaenda alikuwa anaenda kwa miguu nini😅😅
2026-09-08 22:18:06
0
juma.ndaro1
Juma Ndaro :
Ndaah
2026-09-08 20:57:34
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About