@abiir_huwel: Thamani yako haipungui kwa sababu tu mtu mmoja alishindwa kuiona. Unacholilia sio yeye, bali ni ile picha nzuri uliyojenga kichwani mwako. Jipe ruhusa ya kupona na kuanza upya! 🌱 Kama unahitaji sehemu salama ya kujijenga upya, bofya link kwenye bio yangu kujiunga na kundi langu la WhatsApp. Tuko pamoja❤️ #creatorsearchinsights #healingandmovingon #swahilitiktok #mahusiano #maisha

Abir Huwel (Abby)
Abir Huwel (Abby)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 19:37:44 GMT
49023
3584
264
193

Music

Download

Comments

07fibby
fibi :
unafanana na phina😁😁😁
2026-09-09 04:40:24
6
nuhaylahharthraza
It's nunuh :
unamwamini mtu unamthamini unamjali mwisho wa siku anakuacha kimya kimya Tena katika kipindi kigumu ambacho unahitaji tafu yake inauma sana sana sanaaa😭ukiwaza kisa kapata riziq imeongezeka inauma 😭
2026-09-09 05:55:34
34
naju31529
Naju :
shukrqn
2026-09-09 11:52:24
1
bechamagirl0
bechama- girl🌺 :
yamenitokea leo ila mungu ataniongoza naanza mwanzo mpya leo sitaki kumsikia huyu mtu ijapo ni ngumu lkni nitashinda😭🙌
2026-09-09 19:57:35
12
mchejeri3
Tatuu Smart🇰🇪🇰🇼👑 :
Umefanya nikalia tena ila nsawa😭😭
2026-09-11 13:28:08
5
aziza.hamisi66
Aziza hamisi :
nakumbuka nililia sana jmn mpka nikakonda mnoo
2026-09-11 10:32:42
7
user4186177245948
user4186177245948 :
kwa asilimia zote mpaka tukauaga umasikini, mwesho wasiku nilifukuzwa kama mbwa mimi na watoto wangu, na nyuma hakugeuka anatuona kama mavi niseme nini mie hata unielewe nafsi imechoka ndugu.
2026-09-08 22:49:43
9
user214328144337
davis the one :
sina hata cha kusema
2026-10-10 22:05:39
1
hadijamrutu241
💜💜 :
eeeee Mungu ponya wanawake wote
2026-09-10 04:13:05
16
remmyshalismohamm
remmyshalismohamm :
acha tu 💔😢
2026-09-10 11:39:47
1
ali.mt55
Ali MT :
vry truth
2026-09-12 01:22:38
1
artubalton
Artu Balton :
kweli dada
2026-10-03 08:56:10
1
vitalismumba482
vitalismumba482 :
Asante
2026-09-09 19:45:37
1
user2870366610173
mbaruku :
nice 👍
2026-09-09 13:25:25
1
user120348499621
user120348499621 :
kwer kabis
2026-09-09 16:21:23
1
safina6267
Leila hussen :
leo nimeliaaa sana ila yote kwa yote nitaanza upya
2026-09-18 15:02:24
1
user3938083399471
dida :
kweli ten san
2026-09-09 13:08:32
1
marysai7
maribelle :
kwel dada
2026-09-09 14:15:16
1
catherine.94.0
Cha Upole💕🙏💕 :
Duhh! acha tu dada
2026-09-10 12:24:42
1
msokoro6
msokoro :
dah dada ukweli huu ujumbe wangu kabisa yaani Yule dada nilimpenda kiasi kwamba akili yangu ikawa na asilimia 💯 kwake
2026-10-09 20:11:10
2
user3862503711853
Kristen :
naomba uniunge kwenye group
2026-09-09 08:08:28
1
anisamohamed016
jaanush :
kweli kabisa
2026-09-09 11:54:48
1
user5377431608554
user5377431608554 :
facts dada
2026-09-09 10:13:10
1
stevenmbwambo55
steve trucker TZ :
Huyu ni mimi kbsa
2026-09-23 21:05:25
1
rosemary.joseph61
Rosemary Joseph :
asante mama
2026-09-09 06:40:19
1
To see more videos from user @abiir_huwel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About