usiseme hivyooooo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 13:34:02
0
Tinnah💕💕 :
sio shida zetu, Simba nguvu moja 🥰🥰🥰🥰
2026-09-09 12:25:32
68
naly jr :
young africa
2026-09-11 15:04:08
0
ANNA peter :
poleni
2026-09-12 10:56:56
0
BARAKUDA OG.🤟 :
hahaaaaaaaaa😂🤣
2026-09-11 12:42:55
0
Jefta Faustine :
mbona naonatu tim ndogo ndogo2 kubwa kama simba na barcelona Madrid hazipo
2026-09-09 22:19:28
18
Amour jr 10 :
Simba 2nashkuru km ndo mumeamua ivo 🙏🙏🙏
2026-09-09 18:04:47
7
Victor 45 :
ndio najua kama time yang haipo coz huwez kuifananixha na team ndg ndg kama hizo, maana Tim zote kubwa kubwa kama simba sc, Barcelona, real Madrid hazipo
2026-09-10 15:14:30
7
MGALLAH :
haina ukweli wowote hiiiiiiiiiii
2026-09-10 14:07:42
1
Gavi🌀☄️ :
wana simbaaaaaa😂😂😂😂
2026-09-09 10:59:02
10
Samy love590 :
Mimi ni yanga lakini chaajabu nilikua natafuta kunyakunya football club sijaiona kumbe ipo benk🤣🤣🤣🤣🤣.
2026-09-09 07:43:16
7
khalid swaleh ally :
bado sijaona team kubwa hap
2026-09-11 06:55:08
1
D MSTAARABU 🌹🌹🌹 :
tulio itafta tim yetu ikakosa natukajua ipo benk tujuane kwa❤️jaman me sjaiona tim yangu
2026-09-10 10:15:58
5
its_vener_g@$ :
timu kama simba haziwe jilinganisha na timu zenye hadhi ya ligi ya ndondo
2026-09-10 16:19:52
2
sheby :
yangu ipo
2026-09-10 06:21:05
3
monster1. :
wana simba hao
2026-09-11 11:58:05
1
Dutch :
26 wanang wa jangwani☺️
2026-09-10 04:02:35
2
Askofu wa maselaa ⚽⚽ :
wanangu wa jangwani naomba 💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-09-10 19:04:10
1
Hasanali Hussen :
wanaaangaika kuipaisha timu yao kwa nguvu. daah🤣🤣
2026-09-09 21:02:28
2
Iddi Kwangaya :
kama timu yako haipo hapo jua ipo benk kaka
2026-09-09 15:42:15
2
YASINI :
Simba nguvu moja ila yanga wanapenda kujitia sana moyo kimataifa hajulikan
2026-09-09 21:01:17
3
🦋 Monah HM 🦋🦋 :
Tim zetu Zina level ya maabala menginee..
2026-09-10 14:19:15
1
Mtewele Onesmo11 :
timu ipo Bank 😂
2026-09-09 18:51:24
3
meshaki 45 :
oya kuna watu swaoni apo
2026-09-09 17:41:29
1
Miro The way :
hahahahahah ucwafanyie hivyo😂
2026-09-09 15:24:46
1
To see more videos from user @muxialofficial, please go to the Tikwm
homepage.