@focustvtz: Kijana mmoja ambaye ni Muhitumu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha Jeshi Mafinga ( 841 KJ) akionesha ukakamavu wake kwa namna ya Kipekee akipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa hafla ya kuhitimisha rasmi Mafunzo hayo, ambapo mgeni rasmi kwenye hafla hiyo iliyofanyika Septemba 08, 2026, alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James. #FocusTVTanzania
Focus TV Tanzania
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 20:51:58 GMT
Music
Download
Comments
Marco Makoye :
sawaaaaaaaahhhh
2026-09-09 21:54:21
0
𝑯𝑨𝑵𝑿 𝑫𝑬 💰⚒️ :
tuliopita 841 kwa mombo tujuane
2026-09-09 08:21:24
22
Erynah❤️ :
So where is chalamila wetu🌚
2026-09-09 15:48:20
3
MWAKATOBE :
zipo call me mwaisa
2026-09-09 04:40:50
0
yohakina@23 :
hongera
2026-09-09 08:47:02
0
☆@starDEA.derick :
miaka 2 iliyopita nilikua na mimi apo op miaka 60 ya jkt
2026-09-09 08:21:30
9
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
karibu mtaan tuangaike🤣
2026-09-09 06:22:27
5
jamespilly7 :
O.P Venance Mabeyo2022,🫡🫡🫡Mafinga
2026-09-09 08:06:55
6
salha@200 :
me op 60 mtabila kgoma
2026-09-09 11:02:22
3
modesta 24 :
841kj namba🫡👊
2026-09-09 05:01:26
5
drip master piace :
op linda aman 🔥🔥 tujuanee
2026-09-09 13:46:46
2
GodSon⛓️🛠️ :
ila waanzilishi wa hii ni 832 kj..respect san kikundi cha utimamu🫡🫡
2026-09-09 12:45:47
0
🦁 :
idetero oyee
2026-09-09 07:26:13
4
899054e :
838kj
2026-09-09 10:55:58
0
Elizabeth Kawogo :
hongera
2026-09-09 06:54:18
1
C4RHEAD_🏁 :
841 kj OP Mabeyo
2026-09-09 12:50:25
1
omary1357Tv :
841 kj Respect sana makamanda
2026-09-09 08:47:41
2
patrickmsanjala5 :
wakupe kazi tuuu🥰
2026-09-09 05:21:34
3
jaywide :
naipenda mafinga
2026-09-09 05:40:19
7
Mbone Tenga :
𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚡𝚊𝚗𝚊𝚊💯💯
2026-09-09 12:23:00
1
Djuma_nassor004 :
nilipigwa na baridi ckuoga mpk namliza coz hp
2026-09-09 14:05:41
0
Zety :
mweshimiwa kheri kila cku yeye ndy wa kufunga mafunzo na choka mm😁
2026-09-09 17:47:33
0
Edson Ng'umbi :
kazi njema sema mimi nilikimbia🤣🤣🤣
2026-09-09 15:17:10
0
Donny🥭🥭 :
wooow nafurah san kuja 841 kj
2026-09-09 20:49:50
1
🧕Muslim girl🤲🕌Allah akbar🌍 :
jmani niliumia kwa baridi
2026-09-09 20:13:07
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.