Marekani wanaibeba sana lakini kwa uwalisia Urusi ndio namba 1 Dunia
2026-09-09 06:30:35
12
MRMAN🇰🇵🏴 :
Kwa marekani ni uongo bana
2026-09-08 22:26:32
7
ALIANY :
huyu jamaa mbna kama anafanana na Lissu
2026-09-09 05:05:49
3
Dr.mcoomber :
RUSSIA eti inashika Nafasi Ya Pili Kwa MaJeshi ,,,eti iko Nyumba ya MAREKANI pia iko Mbele ya CHINA,,,,Mi Sijakuelewa 😂🤣
2026-09-09 08:27:12
1
baba anna :
unaipendelea San urusi elezea na American
2026-09-09 05:22:51
3
lastborn :
swali ni je, mfumo utajuaje kisasi kinalipwa wapi??
2026-09-09 06:18:41
1
jazufastfood :
Me Nilijua Ray Kigosi
2026-09-09 02:30:45
5
angelo.f.r.n.k :
mamae 😂
2026-09-08 21:42:36
2
baba Brian :
imebaki story
2026-09-08 22:41:21
2
Ramso Kihangaji :
umesema wamekufa wote je aliye bonyeza Tena ni nani kk
2026-09-09 05:54:37
1
ralphael_i♍ 🇹🇿 :
Absolutely.
Russia 🇷🇺 can not be ignored
2026-09-09 09:15:25
0
Peter Mwandu :
eleza na Tanzania ni ya ngapi
2026-09-09 15:36:41
0
ZIG SAKARA :
apo kwenye nyuma ya marekani apo nakataa
2026-09-09 14:20:52
0
Gabriel Kambale :
1 Russia 2 Iran 3 China wengine wako ngufu kwa filamu tuu
2026-09-09 12:38:37
0
Lazaro Joseph :
unakosea sana kusema urusi inashika nafasi ya pili sio kweli,ukweli umejidhihirisha kwenye vita ya Irani na marekani.marekani hawana uwezo wa nguvu za kijeshi kuliko urusi.amepigana miezi sita tu wakaqmua kusimamisha vita kwakuishiwa siraha,lakini urusi anapigana vita ukraine leo ni mwaka wa nne none stop.lakini hapigani na ukraine peke yake hapo ukraine pamoja na nchi za nato zote zipo pale ukraine,sasa unasemaje urusi ni ta pili kwa military power!?
2026-09-09 10:00:19
0
danielmsangi495 :
wamemshindwa Ukraine
2026-09-09 11:06:22
0
Erick Mhema :
irani baba
2026-09-09 03:52:07
0
userAbdiano :
Marekani ya kwanza mbona imepigwa na Iran?😂😂😂
2026-09-09 15:41:02
1
Osmont Marlow :
kwani mifumo ya ulinzi wa anga huwa inaweza kuzuia makombora ya nyuklia?
2026-09-09 05:33:03
0
Hero Saint Kajaja :
sasa kama merekani ni wa kwanza, kwanini anashindwa kumpoteza mu-Iran ad sasa
2026-09-09 04:44:49
0
Fundi msomi🔨🖋 :
mwak wa 4 wanaruka ruka na ukrain
2026-09-09 02:44:30
1
@VIPOST :
ni kweli marecan ilinusurika kupigwa na nyukria ya urusi
2026-09-08 22:57:54
2
chengula :
acha uongo bana
2026-09-09 01:33:50
2
deanpaul445 :
Sasa yatajuaje wapi yanaelekea yakishakua activated 😳😳
2026-09-08 22:08:15
2
To see more videos from user @mcshondelive, please go to the Tikwm
homepage.