@sportshqtz: DEAN HUIJSEN IS A TOP RAGE BAITER! 😂🧱🤍 Beki kijana wa Real Madrid, Dean Huijsen, ameonyesha kiwango cha juu sana cha ulinzi na akili ya mchezo kwenye mechi dhidi ya Inter Milan! Sio tu kwamba anazuia hatari zote, bali pia anajua jinsi ya kuingia kwenye akili za washambuliaji wa timu pinzani na kuwatoa mchezoni! Kutoka kwa Antony hadi Lautaro Martínez, wote wameonja joto la jiwe! 🔥🧠 Unampa maksi ngapi Huijsen kwa kiwango chake msimu huu? Dondosha maoni yako! 👇👑 #RealMadrid #DeanHuijsen #HalaMadrid #UCL #ChampionsLeague