@beginnerpianist19: Karibuni Sana ndugu zangu leo tunaenda upya kabisa cha msingi kila mtu aelewe karibuni sana ,leo tumejifunza kuzifaham keys anzia hapo hapo ulipo safari yetu inaendelea. #piano #piano beginners #piano for beginners #music#kinanda

Beginner pianist 000
Beginner pianist 000
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 02:06:57 GMT
13081
796
18
18

Music

Download

Comments

kevoo119
kevoo :
hii tunaitaji mwendelezo wa beginners hiv hiv
2026-09-09 08:29:41
4
voo631
Fadhili :
bro unapatikana wapi je kuna darasa la kujifunza mziki??
2026-09-09 19:04:30
2
davidphotunatus
@Star Far :
anza na namna ya kukiwash maana kuna siku nimepewa nikibebe nikaambiwa niunganoshie ukiwashe aiseee kaka nilichemka
2026-09-10 10:18:16
1
rata.king
Rata King :
naimani ukiendelea kutuelekeza kama hivi tutaelewa kabisa
2026-09-09 20:03:25
1
kiddafany
KID DA$ :
Bro unapatikana wapi
2026-09-09 18:30:55
1
machumu50
makisi-kisi :
unapatikana wapi
2026-09-09 21:18:40
1
motivatedtoall
motivatedtoall :
mi nakuelewa
2026-09-10 00:40:48
1
edwardpaschal179
Edward Paschal :
sikuwahi kuchua kama hapo unapiga kwa herufi 😂😂😂
2026-09-10 17:17:05
0
mkiki_255
mkiki_255 :
Endelea kutuelekeza brother taratibu tunaanza kuelewa🙏
2026-09-10 04:42:15
0
gunihazard2026
Gunihazard tz :
acha uongo hatua ya kwanza ni fingering
2026-09-10 12:53:10
1
kitika435
kitika :
safi san
2026-09-10 18:33:00
0
To see more videos from user @beginnerpianist19, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About