@seif_afyapoint: PID si maumivu ya kawaida—ni ishara inayohitaji kuchukuliwa kwa uzito. 🩺 Maumivu ya chini ya tumbo, uchafu usio wa kawaida ukeni, maumivu wakati wa tendo la ndoa au kukojoa vinaweza kuwa miongoni mwa dalili za PID. Usipuuze dalili; tafuta huduma ya afya mapema kwa uchunguzi na matibabu sahihi. #PID #AfyaYaUzazi #WomenHealth #HealthAwareness