Kaka hakika unawakumbusha Wazanzibar wao ni nni na pia inasaidia kuelewa wap tumekwama keep hoing tunakusikiliza lete hutba zake mpka akili zitukae sawa
2026-09-10 05:07:33
4
just me😣😥😢😭 :
saivi laki moja hamna kitu
2026-09-09 16:26:15
2
MaMeN Tozzy :
Allah akurehem Amin Amin
2026-09-22 19:37:26
2
user5339978603821 :
tutaendelea kukumbuka kupitia dhulma ya mali zetu ulizo tupora bado tunaendelea kuzidai mpaka pale ulio waachia madaraka ya kutudhulumu watupe wenyewe ..sbb dhulma ni dhulma tuu.
2026-09-11 09:02:07
2
Bomba ali :
Mashaallah
2026-09-26 20:59:40
1
Twetwe :
Tulifeli wapi ?
2026-09-09 10:32:10
1
Mrs Patrick bellange :
mm nahisi wamerican ndo walomuwa mzee karume
2026-09-26 14:50:00
1
Kibona Mpemba :
Karume ilikuwa muongo ulichosema sio ulichofanya
2026-09-10 09:20:54
1
mbappe son :
❤️❤️❤️
2026-09-13 03:55:26
0
To see more videos from user @zinjibar.44440, please go to the Tikwm
homepage.