@picco.kikongwe.og: UKWELI HUMUWEKA MTU HULU

picco kikongwe OG
picco kikongwe OG
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 05:06:33 GMT
167859
8363
368
164

Music

Download

Comments

korpon
Mayenga 010@% :
so sadly 😥 😔 😟
2026-09-21 19:31:43
1
jujunyam
monicah💕 :
huyu kaka alikua jiran yangu bunju nilikua cjui kama ni msanii jmn true story 😳😳
2026-09-09 07:14:05
164
matsonyustace
[email protected] :
maisha halisi na hakutaka kuazima nguo ,,respect bro[Pray]
2026-09-09 14:42:48
97
user1496622070168
Gianna :
sijui kwanini naumia juu yake maumivu naona kama nimeyabeba mimi
2026-09-09 06:46:41
71
rupiagmail.com
[email protected] :
ukimuona mwanaume analia aisse ujue kuna jambo
2026-09-09 08:26:11
47
ishamamy
ishamamy :
Hakuna kitu naumia km nikiona mwanaume anatoa machozi kwa maisha anayopotia wallah huwa naumia sanaa
2026-09-21 09:35:46
13
christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
kuja kuanza upya kwa mwanaume inachukua muda
2026-09-09 14:33:58
41
user54427093941093
RJ Binagi 👑 :
Ukiona mtu mzima analia ujue anapitia mengi sn
2026-09-09 12:52:06
49
pendo.ramadhani6
pendo ramadhani :
niliomba kz nkaambiwa nivae vzr ht nguo nilikuwa cna alafu kz yenyewe nilipata rock city mall daah boss aliponiona alinipenda akaninunulia nguo za kzn maana ht ndara nilipewa nilikuwa na Maisha magum usiombe upitie changamoto ya nguo kufubaa😢😢😢
2026-09-10 12:50:24
37
twiga84
Twigah 🔥 :
kina ommy na nyie maswali mengine dah! sorry brother 🥲
2026-09-10 14:28:27
11
inamonga
Inamonga :
Nani huyu?
2026-09-09 06:53:38
15
airprint.graphics
AirPrint and Graphics :
Mbona analia sana mwanaume kaza kuna watu wanachangamoto zaidi acha kutia uruma be strong
2026-09-09 12:27:32
14
catherineemeline
Catty classic wear :
Nataka kumpa tshert kama zawad kutoka kwangu
2026-09-10 15:09:27
12
suleymaniabbasi
Man selectar Mtoto wa bibi. :
ogopa san mwanaume kutoa chozi ujue moyo wake una maumivu san
2026-09-09 12:40:24
5
stamina1645
stamina :
weka namba tubadilishe maisha kdg kaka
2026-09-11 13:30:01
12
user2311243908003
tmatrix :
Daaah aya maisha bwana , nikushukuru Mungu tu
2026-09-11 15:00:39
6
fiveobliq
mkuu wa ma rider Tz :
pico mnyama sana anangoma mpya kaimba na chidbeanz ni noma sana
2026-09-10 18:23:21
8
pendocute1
Cathy_brand❤️🦋 :
Pole sana kaka angu 😭
2026-09-09 07:49:37
5
calvinba360
calvinba360 :
GenZ kaeni kando hapa hamshiki lolote
2026-09-09 15:24:03
7
princess.marryemi
princess [email protected] :
mungu atakufungulia one day
2026-09-09 06:04:41
14
meddyluv94
🕷MeddyLuv🦅 :
Pole Sana Kaka Mkubwa!
2026-09-09 05:39:09
8
luckychocolate4
LUCKYCHOCOLATE🍫 :
Daah nimetoa hadi machoziiii😭👏Allah muweza inshaallah
2026-09-09 07:47:16
8
devisdioniz907
mc cheche ivent :
kukaza sana pole usiwaze bos
2026-09-09 08:05:54
6
dhboydullah
DH BOYTZ :
pole sana
2026-09-09 05:50:10
5
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
Maisha jmn 🙌 inauma
2026-09-09 07:13:19
5
To see more videos from user @picco.kikongwe.og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About