@🍁yofizone 🍁::Kama unatumia ChatGPT
mwambie achague namba
yoyote kati ya 1 - 30
Asipochagua 17 mje
mnipige😂😂😂😂
2026-09-09 13:41:49
5
og@# :
😂😂tamaa mbaya
2026-09-09 07:19:54
32
Tyazo Boy :
kwelii Tamaaa mbayaa
2026-09-10 05:44:58
12
~~Kinono Jr~~ :
Wabongo wanapenda kujiamulia mamb
2026-09-09 06:51:53
17
Chegu_msafi :
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa
Bahati mbaya Mziki uka zima
X wangu Aka lopoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja😂🙌
2026-09-10 14:11:33
10
Polly_mine🖤 :
nachoka mm😂😂😂ni aibuuuu
2026-09-14 08:38:06
1
@official.wizzy_crown.tz :
uyo brother hajakujua
2026-09-13 16:00:10
2
🦋brinnah🌺🌷 :
Tamaaa mbaya jmn
2026-09-14 09:46:39
3
Addemol :
sure
2026-09-09 17:32:14
3
mamaabouh :
mama anajuwa
2026-09-13 07:36:31
1
Sir_Francis :
Wabongo ndo tunapofeli🤣
2026-09-13 16:31:12
1
Yasini Twalika :
tamaaa wakati mwingine inagarimu na inaweza kukupetezea vingine
2026-09-15 16:56:39
1
Unique_Warda🌸🦋 :
mzung wa kimanzichan ☺️
2026-09-09 20:37:07
3
Nameless :
kama mzungu hawezi kumuuzia Mtanzania izo bendera 4000 mi ntaweza kununua??😁😅
2026-09-09 08:37:24
3
Nkwimba🇹🇿Giana🌹 :
ila sisi 🤣🤣
2026-09-09 18:37:21
1
baba caroline :
tamaa mbaya sana
2026-09-09 19:40:04
1
To see more videos from user @bongozozo_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.