Mimi nataka kuuliza hivi mwanaume ukiambiwa hayo maneno na mwanamke na unaamua kabisa kumuacha mwanamke wako na kua na uyo alokwambia maneno Una uwakika gani Kama yeye ametulia 🥺
2026-09-14 08:14:21
1
afam suleiman :
wwke hatupendan😔
2026-09-10 13:15:48
0
Mwajuma Hamdu :
Dah shida
2026-09-09 16:29:09
1
Unkownkdramafan :
Hmm sijali udugu narogaaa😂🥺
2026-09-09 08:16:29
2
0mar bare :
story day 🤣🤣
2026-09-09 10:22:34
1
mamayazdanuniquecollection :
hataree
2026-09-09 08:45:02
3
Shaghala kujidai :
Mwisho haina sauti 😢
2026-09-09 06:06:13
0
Mo Raza :
kutembea ni nini jamn
2026-09-11 05:51:07
0
Madam 💝💝 :
Ni huzuni
2026-09-09 06:17:27
1
rastaallly :
dad nimekubali visa km ivi
2026-09-11 09:16:43
0
saifsaify20 :
Wakihashuwana😁😁
2026-09-10 20:45:13
0
lunalyan :
aachane nae tu kama sio hivyo hao ni ndugu watakuja kugombana bure
2026-09-12 16:44:18
0
ahmatar2023 :
Dah!ila mapenzi b4 ndoa
2026-09-19 11:15:26
0
Ali mpemba :
huoni Raha apo wew
2026-09-09 14:16:37
0
SD :
dunia inamambo
2026-09-09 12:46:22
0
Miss chocolate :
na amuachie t
2026-09-09 23:38:28
0
Salim Mahsen :
A A
2026-09-13 15:06:04
0
ค๒๔ยɭฬคђץ๔86🔵 :
2026-09-10 05:15:40
0
mansiiz :
mhhh jamn
2026-09-09 07:49:17
0
mamy rey 🥰 :
Asya ni mamaangu lakn kwann asya Ina huzunisha
2026-09-09 09:15:28
0
Sabiha saleh :
hilo lipo san na linatokea so mar moj tu hat mim nimelishuhudia upand mwenngn
2026-09-20 19:09:20
0
Asyer Ali 🦋💜 :
eweeee Asya mm au
2026-09-09 08:27:05
1
Ashrafabubakar10 :
Sorry! unahisi Bi Asia ,mdogo wake na huyu mwanaume hawakua wahuni wote? 😅
2026-09-09 08:35:09
1
Bin salum :
da yasikitisja
2026-09-18 09:18:15
0
ahmatar2023 :
kumbe na wanawake mnakua mnatamani wanawake c mje uk
2026-09-19 11:16:28
0
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.