@jwtz80: Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanda ya Ngome imeridhishwa na miondombinu ya viwanja itakayotumika kwenye mashindano hayo jijini Mwanza. Ikiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kanali David Luoga imetembelea viwanja vya shabaha, mpira wa miguu, pete, kikapu, wavu, mikono pamoja na mchezo wa vishale. Kanali Luoga amesema ubora huo utawafanya wachezaji kuonesha uwezo wao kwa viwango vya kuridhisha na ushindani wa hali ya juu. Mashindano ya BAMMATA yanatarajiwa kutimua vumbi kuanzia tarehe 21 Septemba 2026 hadi 05 Oktoba 2026 jijini Mwanza yatawashirikisha wanamichezo kutoka Kanda ya Ngome, JKT, Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji pamoja na SMZ.

Tanzania military
Tanzania military
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 05:59:28 GMT
20319
1439
24
9

Music

Download

Comments

khamis.mpili
Khamis Mpili :
💯 nguvu1
2026-09-11 08:29:41
1
kibadatan
ImmaTanzania 🇹🇿🇹🇿🪖 :
haijalishi wewe ni mwanajeshi haijalishi wewe ni askari magereza haijalishi wewe ni raia wa pasa huiheshimu na kuitunza nchi yako mzalendo wa nchi yako enyi watanzania tuipende nchi yetu kuna kongo analia burundi rwanda wanalia vita magonjwa mbalimbali yanawatesa lakini sisi sisi ni nani tusishinde kuitetea tanzania yetu na kuilinda kuwa mzalendo wa nchi yako wewe mtanzania sauti jwtzsauti ulinzi wote vyombo vyote vya ulinzi na usalama jameni tanzania ilavyo afrika thank you god 🪖🪖🪖🪖🇹🇿🫡🫡🫡
2026-09-21 20:13:00
0
user4837679279918
Nego's D7 :
napenda Sana kuwa mzalendo
2026-09-20 17:38:38
0
logosmollel1
Logosmollel@ :
wakuuu mbn hamtoi tangazo september
2026-09-17 10:20:28
0
tumainmwamatenge
TUMAINI MWAMATENGE :
mtunzwe na MUNGU
2026-09-09 08:31:12
1
masterpachagelodkilasiss
master pacha🤓😎🥷🥷 :
natamani sana lakini chet sina napenda kuwa mzarendo kindakindaki
2026-09-17 18:18:43
0
cantalap
cantalapenza :
natamani kujiung na jeshi
2026-09-10 20:44:12
0
user786720393733
user786720393733 :
pamoja sana
2026-09-11 11:59:17
0
user6885375263081
salima :
🥰🥰
2026-09-09 17:39:59
0
deocadamiansamian
Propper 🗡️🌴⚔️🏞️ :
oa mafande watangaze chance
2026-09-09 16:46:33
0
hamzahassan1454
Hamza Hassan :
salut
2026-09-10 12:14:28
0
richardsolly
richardsolly :
humutu
2026-09-15 19:23:40
0
user033445688
fai💫✨💞 :
🥰🥰
2026-09-09 08:15:11
1
samwel.george93
Sinaabali 45@/ :
👏
2026-09-20 17:36:20
0
ommy_lizer
Saiba dè prince :
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-09-09 14:56:35
1
homeboymshefa
Mshefa :
🙏🙏🙏
2026-09-09 06:04:27
1
kingofmotivation06
TikTok Tz 🇹🇿 :
👍👍👍
2026-09-17 07:03:39
0
official_rukia63
Official_Rukia :
@Rammy Gee
2026-09-21 13:23:46
0
kibadatan
ImmaTanzania 🇹🇿🇹🇿🪖 :
🪖🪖🪖🪖🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️🫡
2026-09-21 20:11:28
0
abdurimpanda0
mdgo magoba :
🥰
2026-09-12 12:59:43
0
unknown_tz01
Cadet boy :
🫡🫡
2026-09-11 15:35:30
0
asasi.e.p.i
ASASI M.P :
🫡🫡🫡🫡
2026-09-14 21:27:40
1
aishahamis58
Aisha❤️🦋 :
ipo siku na mimi ntakuwa mke wa Mwanajeshii inshaallaah 🥺🙏
2026-09-15 13:16:07
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About