@gwajimanization_: USIMDHALILISHE WALA KUMTUKANA MTU, HATA KAMA UNA SABABU ZOTE ZA KUFANYA HIVYO NA WATU WOTE WAKAKUELEWA. MAISHA HAYANA UHABA WA MABADILIKO. WALE UNAOWAONA HAWANA MAANA KWAKO LEO, HUENDA MIAKA 10 AU 20 IJAYO UKAWAKUTA NDIO DARAJA LA KUKUVUSHA KWENYE HATUA NYINGINE YA MAISHA. 👉 HESHIMU WATU LEO, HATA KAMA HUWAHITAJI. MAISHA YANAWEZA KUBADILISHA NAFASI ZA WATU KWA MUDA MFUPI SANA.
GWAJIMANIZATION
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 06:08:22 GMT
Music
Download
Comments
Chesco david :
Ameen
2026-09-09 07:45:06
1
princess m (meccia) :
Amin nimeumizwa Na nimekaa kimy
2026-09-09 08:03:54
1
john justin :
Baba Mimi nakupenda Sana siku ikiisha Bila kusikia maombi yako siwez kua sawa
2026-09-09 07:32:49
1
kamwingili755 :
Amen
2026-09-09 09:10:43
0
Christophe Kulanga :
amina
2026-09-09 07:35:02
0
CARREN puite :
amen 🙏🙏 mungu tenda hakika mwenyewe Sitofungua kunywa changu
2026-09-09 08:31:05
0
POUL EMANUEL :
amin
2026-09-09 07:42:04
0
Herieth @ :
Sawa sawa
2026-09-09 08:22:43
0
MP-MSUKUMA :
ameni
2026-09-09 08:00:20
0
user8182815504239 :
Amen Baba
2026-09-09 07:35:03
0
lamorabeauty5 :
Amina Mungu nisaidie kufumba hiki kinywa chngu ninapokuwa na hasira
2026-09-09 08:00:29
0
dickison venanti :
ameeen dady
2026-09-09 07:21:49
0
letina :
Amina Baba
2026-09-09 07:21:01
0
NEEMA :
Amen
2026-09-09 08:03:09
0
Agustin Beno :
amena
2026-09-09 06:29:19
0
phinner store👜👜 :
ameen
2026-09-09 06:14:52
0
CARREN puite :
ameen
2026-09-09 08:27:24
0
Martha💕 :
Amen
2026-09-09 07:16:23
0
EMMANUEL PAUL :
👏👏👏
2026-09-09 08:01:19
0
HAND OF GOD :
🥰
2026-09-09 07:27:19
0
shadrackr492 :
🙏🙏
2026-09-09 06:53:22
0
Paulaa :
🙏🙏
2026-09-09 06:49:14
0
Manka Jonh 🇹🇿🇿🇦 :
🙏🏾
2026-09-09 08:13:24
0
To see more videos from user @gwajimanization_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.