@mr__tzb: TUKIMALIZA KUWASIKILIZA HAWA WALIO TOKA AFRIKA KUSINI, TUFIKILIE NAMNA WATAKAVYO PATA AJIRA TANZANIA, BILA HIVYO KITATULAMBA🙌
TZB
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 06:23:20 GMT
Music
Download
Comments
veeh :
Kwani walirudishwa Tanzania kufanya nn
2026-09-09 15:03:56
2
🦋 :
Toba kazi tunayo mitaani
2026-09-09 17:04:54
1
Onex Mkandawire :
hello hello 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 14:18:05
0
ahmadiissamussa :
hawa jamaa wamefukuzwa haki
2026-09-09 13:40:21
2
VICTOR SAMSON :
hawa wakiandamana tumeisha
2026-09-09 18:49:24
0
NUFAYLA :
Hee mtihan
2026-09-09 08:53:57
1
cute mamu 49 :
yallab tusimamie.wajawako inshaallah
2026-09-09 17:14:09
0
Suleiman Abdalla :
pole sana kaka
2026-09-09 17:18:32
0
shuu🇹🇿 :
mh naogop mm🥺🥺
2026-09-09 16:18:09
0
@the bolism :
Dah! hatar kweli kweli
2026-09-09 13:47:13
1
Aisha🥰🥰 og :
mmmmh
2026-09-09 13:59:03
0
Hamza Balala :
ajira watatafuta wenyewe
2026-09-09 15:35:54
0
bunduki :
iyo hatari sasa
2026-09-09 15:39:12
0
Neema Ndossi :
shuhuli tunayo
2026-09-09 16:34:30
2
Buthalia_hussein :
Tufikirie na nani?
2026-09-09 07:10:39
1
Masanja darushi :
walikuwa wameenda mafunzo
2026-09-09 14:37:14
0
djstone2550 :
Hawa jamaa tungekuwanao october ingekuwa 💥💥🔥🔥🔥
2026-09-09 14:22:04
1
Abumary :
Uyu mwizi na muuaji wala sio wa kumwamini kabisaaaaa maana anazungumza bila khofu
2026-09-09 17:33:56
0
user2817084390856 :
kwanini wamekuja hawa jana
2026-09-09 17:04:07
0
Juma makungu :
bora hata walipofukuzwa
2026-09-09 18:30:40
0
iammocky :
Kuna mtu anfkiria kutafuta maisha south tena??
2026-09-09 16:10:12
0
Peter Reward🚢⚓️ :
wana wametoka mafunzo💪.sasa kaz iendelee
2026-09-09 17:57:42
0
fety :
mbona.mtoa post umefanana nae
2026-09-09 16:07:51
0
Michael muhoja :
jamani bongo bongo bongo nakuita maratatu kazi tunayo watu hawa mjui hata magufuli
2026-09-09 12:22:39
0
To see more videos from user @mr__tzb, please go to the Tikwm
homepage.