tanzania ni nchi.tajiri.chakula kings sn.shida ni pesa ikochini wakenya.mkifukuzwa,tz.au.mpaka.ifungwe.mtateseka.huku chakula shida
2026-09-09 13:44:59
7
tecrahhansi :
AUSIO WANETU BASI SAWA ILA SISI HATUNA BAYA KARIBUNI TANZANIA
2026-09-09 08:30:39
5
baby lone 🇹🇿 :
sw wanetu ila sisi atuna baya nanyi karibuni tz
2026-09-09 11:50:49
13
Omary Christopher :
ki2 Cha kuelewa nikwamba ao wtz wakiondoka izo kazi mtaziweza?
2026-09-09 13:12:12
5
Amina Nyambu :
Game draw.
2026-09-09 12:49:49
1
Justine Molllel :
mungu atusadiye sana kwakweli Hawa jaaa tukifikia hii tulipo fikia pabayaa na kweli serikali ya Kenya kama halita hangalia hii swala tunakwenda kundaa afukon sasa kwa hii hapana
2026-09-09 15:01:44
3
mr paul🔥 :
iv mnajua Mombasa ni tz
2026-09-09 14:57:39
2
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋♀️ :
sasa kenya huko kuna nn?
2026-09-09 13:33:43
6
fadhili bwanga :
sisi atunarombaya niyinyitu tunawakaribisha tz atuna ubaguzi sisi
2026-09-09 13:18:46
3
furahdaniel :
nipo Kenya na Sina aidii utanifanya. nn ww
2026-09-09 12:10:37
3
ndakashli :
cha kufanya n kuwaeleza wafate rules za kenya,,,,,
2026-09-09 10:24:23
1
🇹🇿🇨🇩🇺🇸 :
sawa kwa hyo tuku saidiaje mwanetu
2026-09-09 13:48:34
2
Muha wa kasulu Org🦍🦍 :
Karibuni Tz.
2026-09-09 12:49:40
3
johanessm885 :
sawa tukijibu mnyamaze pia
2026-09-09 13:45:01
2
Z.SHAB :
wakenya mtalia badae.
2026-09-09 13:56:20
1
ramaa jr :
duu🤔🤔🤔👋
2026-09-09 12:00:40
1
Musa Yusuph :
njoon huku hata nyie mkipenda
2026-09-09 13:12:17
2
Stephen Onyango :
kwani
2026-09-09 08:21:02
2
ramsel jr🇹🇿🇹🇿🚴🚴🚵🚵 :
watanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tulokua kenya tujuane hapa wakuuu 🥷🥷🥷🥷
2026-09-09 15:41:07
0
@kalemby :
Hizi si kauli nzuri.Hakuna anaetoka nchi yake kama c kutafuta maisha Bora.Weka akiba ya maneno we all all brothers n sisters let's not allow this kind of inflammatory messages ni uchochezi.Watanzania nyinyi ni ndugu zetu Kenya 🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
2026-09-09 15:49:51
0
Yakub 🙏🇹🇿🙏 :
jamani ni nani amewakosea mashemeji zetu jmn sipendi mtu awakosee mashemeji👊🏻
2026-09-09 15:30:25
0
Charles :
Mnataka kujua Wakenya wapo wangapi Tz? 😁
2026-09-09 15:47:15
0
To see more videos from user @bungelamajengo, please go to the Tikwm
homepage.