@jonstarofficial: Miaka 15 sasa bila wewe, Baba yangu. 🕊️🖤 Muda umepita, Lakini kumbukumbu yako bado iko hai moyoni mwangu. Pumzika kwa amani Baba (Kasaloo Kyanga), Utakumbukwa daima. 🙏🏽🕯️ #KasalooKyanga #KyangaSonga #Nostalgia
DAH POLE SANA KIJANA WANGU. BABA YAKO ALIKUWA RAFIKI YANGU.KARIBU SANA HOME. ALIYEPIGA SOLO HAPO NI KAWELE MTIMWANA. RIDHIM MWL JOHN KITIME.BASS NGESI DAH UYOLE NKILIMO 1989
2026-09-10 05:32:21
3
JITU JINI👿 :
pole sana
2026-09-09 07:02:31
1
Zuu0000 :
Pole sana Mungu ampe pumnziko lenye Amani. 🙏
2026-09-10 09:27:59
3
Rocky :
Wewe ni mtoto wa Eddy shegy au Christian?
nakumbumka miaka ya 90's pale shekilango 92 hotel wakiwa na washirika Tz stars ilikuwa ni moto sanaaa
2026-09-10 09:22:09
1
edwardkishiwa376 :
Pole dogo mungu akupe nguvu
2026-09-10 09:38:50
2
mills1485 :
Wakati wapo Tancut Almasi mimi nilikuwa ni kijana mdogo lakini nawakumbuka walikuwa wanamuziki wenye talent na walikuwa smart. Daah pole sana bro
2026-09-16 21:08:57
1
Likwanda Amour :
Samhani je Kyanga Sonha bado yupo hai??
2026-09-10 03:43:59
0
mwavita said :
mm mwavita tumekanao uzuri
2026-09-24 19:08:56
1
captain Manata :
hapo nawakumbuka ndugu wawili kutoka usambaani Eddy Sheggy na Christian Sheggy
2026-09-15 17:52:11
2
prezdarkimbao. Tz :
Huu ndio ulikua mziki sasa wahenga tujuane hapo
2026-09-26 20:53:25
1
badiri :
Pole sana! Niliwahi kuwaona ukumbi wa CCM Tandale na Tancut Almasi wakiwa wamevaa mashati ya Bahama na kichwani wamepaka Curlkit.Mwenyezi Mungu awarehemu.
2026-09-11 07:30:09
3
Davie :
pole sana Delvis
2026-09-21 19:55:21
1
Luckystar Vicko :
1989 niko darasa la pili,nyimbo nzuri zinaishi
2026-09-29 14:09:27
1
Muhidini Mgoo :
🥰safari😳
2026-09-17 18:49:58
0
Old_Timer Kaabisa🇹🇿🎤🎧🎻 :
Kwaiyo Kyanga Songa Ndo alikuwa baba mkubwa au mdogo...
2026-09-09 19:06:42
1
Old_Timer Kaabisa🇹🇿🎤🎧🎻 :
Tuncut Ilikuwa ya moto sana.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-09 19:07:34
1
Old_Timer Kaabisa🇹🇿🎤🎧🎻 :
Safiiiiiiiiii sanaaaaaaaa
2026-09-09 19:04:45
1
Binamu dread locks :
pole sana Mungu ampumzishe huko alipo pia Asante kwa kutuachia mziki mzuri
2026-09-16 08:36:38
1
patrickmponji :
r p i
2026-09-24 20:10:50
1
Emmy :
kwa sasa anaishi Uingereza
2026-09-16 22:03:04
0
Pst.Baraka Waya :
Aisee pole Sanaa
Tancat Almass 1989 hii
2026-09-28 21:01:41
1
sinbad :
Polesana
Ameondoka na mzikiwake Mzuri
Natamani Enzi zijirudie
Mungu amlaze Mahali pema peponi
2026-09-17 17:34:59
0
Emmy :
namkumbuka mzee Kawelee Mutimwana kwenye gita hpo
2026-09-16 22:02:39
1
salome dassa :
My favorate
2026-09-10 10:50:49
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm
homepage.