@nuni_the_empress_: Nisaidieni kujibu tafadhali #gym #GymTok #truestory #NuniTheEmpress #Lifestyle

nuni The empress
nuni The empress
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 06:43:31 GMT
6839
464
43
7

Music

Download

Comments

vladic_health_fitness
Vladic Health & Fitness :
Coaches don’t train 😂😂😂😂 It’s osmosis, fitness simply enters the system while they coach!
2026-09-09 06:55:48
1
user4551159852478
cookie 🥞🍪🌹🫦 :
yn sahv naenjoy kufanya mazoez
2026-09-09 12:36:18
3
mera178905
…vëñøm queen 🫅 🖤❤️‍🩹 :
Ule muda wakati na ww pia unafny 😅😅😅
2026-09-09 07:56:19
3
kimamy336
kimamy✨️ :
si mnafanya wote mda wanawafundisha 😂
2026-09-09 08:13:49
2
daynessphilibert
Dayness ❤️ 🇹🇿 🇷🇸 :
Trainer wangu hajui Kiswahili ningemtag 🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 12:35:00
1
aweken_soul
leo_cusp :
@leo_cusp:sisi tushatengeneza kwaio hatuitaji Muda mwingi wa mazoezi ni dakika 45 zinatosha kabisa maana tuna maintaining tu ila kama unataka growth zaidi bas unatenga Muda wa kutosha
2026-09-09 12:42:17
1
pavel_east
Pavel🇹🇿 :
Gym trainer wengi wanakuwa wamefanya mazoezi Mdaa mrefu mwili unakuwa umeisha kubali so akifanya mazoezi even 1 hour mwili wake unakuwa Upo kwenye form,and second trainers wengi wanafanya mazoezi gym tofauti na wanazofundisha so nikazi sana kumuona trainer wako akifanya mazoezi
2026-09-09 07:03:10
0
brown.osiah
Brown Osiah :
mazoezi dk45 inatosha
2026-09-09 18:07:13
0
79bennybenny
79benny :
😁😁kazi yetu ngum
2026-09-09 18:57:05
0
coach_vain
Coach_VAIN✌🏿 :
Naamn trainers wana muda mwingi wa kufanya mazoez kitu wanachokuzidi ww n kwamba atutumii muda mrefu sana mana Tunafanya tunachokijua atubahtish mazoez so session ya 45m kwa trainer n Sawa na masaa mawili yako yeye Ana plan yake na schedule ameipanga vizur na Akuna maelekezo mengi
2026-09-09 19:04:41
0
street___soul
Streetsoul :
Mda wanao mwing sana
2026-09-09 14:07:22
0
ally.hemed33
Ally Hemed :
Sisi ma-trainer tunafanya mazoezi kulingana na ratiba na majukumu ya gym. Mara nyingi tunapata muda wa kufanya mazoezi wakati ambao gym ina nafasi, lakini pia tunazingatia kuwahudumia na kuwaongoza wanafunzi wetu.
2026-09-09 18:33:09
0
shafii.msuya
MR. CONTIGENT :
tunafanyaga nao Sema huwaonagi
2026-09-09 14:11:31
0
eng..eze
Eng. Eze :
45 mins zinatosha kufanya ma zoez @am a trainer karibu
2026-09-09 13:40:49
0
djsheedy
Music Doc :
Muda msio enda Gym ule mchana ndo Muda wao wa Kujaa sasa
2026-09-09 13:37:27
0
aweken_soul
leo_cusp :
sisi tushatengeneza kwaio hatuitaji Muda mwingi wa mazoezi ni dakika 45 zinatosha kabisa maana tunamaint tu ila kama unataka growth zaidi bas unatenga Muda wa kutosha
2026-09-09 12:41:06
1
babayubadili
@ADUI :
😂😂😂ni Mungu tu na genetics
2026-09-09 08:25:44
0
aymanharoun513
Ayman haroun :
Alfu asaivi ntakua siku train kumbe unanichunguzaga nikiwa nakufua au sio
2026-09-09 20:53:06
0
casana360
casana 💦🧃🧶🪡🧵 :
Najiulizaga nashindwa kuelewa😌😌
2026-09-09 09:06:36
0
joshua.fitness1
Josh Fitness :
gym ya kwake masaa yote yupo gym na ndo kazi yake kwanini asipate mda wa kufanya mazoezi
2026-09-09 14:47:33
0
phiner_198
phiner_19 :
Mfano gym inafungwa sa 4 , matrainer wengi ndo wanatrain baada ya hapo wajanja hao hawatak muone wanavyolia na wao😂😂💔
2026-09-09 13:22:24
0
oscarnho20
Mr smile😁 :
nipo hapa Sisi ukipiga wewe chuma na mimi naongezeka
2026-09-09 15:36:38
0
To see more videos from user @nuni_the_empress_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About