Mm mpaka nablock kabisaaa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Tears of joy]
2026-09-15 08:05:39
2
Annette faith :
mm nko apo sas in 30munites nshamaliza hiyo kaz🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 11:30:12
1
kerry :
Blood O postive hapa😅
2026-09-15 18:23:58
0
MARRYANN 💕 :
mm hua navuta adi pictures i don't like memories [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 04:59:21
1
only God 🙏🔥 :
waaaaah Kama mimi 🙆🙆🙆🙆🤣
2026-09-16 20:08:27
0
Natasha24 :
that's me😂😂🤣
2026-09-16 18:53:41
0
juma paskazia :
huyu ni mimi 🤣🤣
2026-09-09 07:40:52
16
marya darling :
nimekublock pia
2026-09-09 10:06:21
7
user4854304907299naima :
ata ku block ndaku block.alafu ndaku unblock [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 19:58:28
5
la reine mère :
Mimi Hapa 🤣🤣🤣🤣
2026-09-12 11:56:35
3
Teresa wa mummy :
hio ni hali ya lastborn
2026-09-11 17:16:55
3
Queen 👑✈️🇲🇫🇳🇴 :
na hadi kukula block alah😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 19:45:31
0
Afjoma de jomas :
wakwanza mim na kuoa stak stress nying
2026-09-16 13:40:52
2
Nanah 😍 :
mm tukigombana namsave ashura😂
2026-09-16 16:34:50
2
Erick balola :
maneno ya sabato peter haya
2026-09-09 12:17:46
4
I'm miri :
mimi hadi nguo ulizo nunuwa nachoma sina mda mchafu mimi
2026-09-16 07:57:24
1
Ma T :
yani ndo mm tukielewana nasave tena tukikosa na kwamba nafta kila kitu natia number blacklist
2026-09-16 20:33:06
1
queen 💕 :
mambo yangu hayo achana na mm 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 18:18:06
1
Immah Alexa :
nakublock hapo na napo
2026-09-09 12:58:42
0
@@Mdada## Mchelsea💙💙@@ :
nitauza watoto mie ......msinichezee😥🤣🤣
2026-09-09 12:24:18
0
Baraka Elias Tz🇹🇿 :
huyo ndio mimi kbx nimekutongoza mwenyewe halafu unaniletea dharau na kupigia simu upokei unasema uko busy na wakati nilisikia unaongea na mtu mwingn yaani ikitokea kama hivo nafuta kila kumbukumbu
2026-09-15 19:02:17
2
potty :
Sasa mmoja akosee af tugombeswe wote jaman 😂😂😂
2026-09-09 06:53:20
1
Neema :
yes 😂😂😂
2026-09-16 21:43:19
0
marry💕 :
tabia yangu hiyo😂😂😂😂 m sio nomb tuuu adi nakusahau kabisaaaaa sikujui
2026-09-16 21:27:46
0
To see more videos from user @official_cheu, please go to the Tikwm
homepage.