@omarimshairi: Story kidogo za kishkaji tukujiandaa na mazoezi ya kumkanda mighty wanderes CAF CHAMPIONS LEAGUE jumapilii MWANASIMBA kata tiketi yako mapema maana siku hiyoo LIBASE ATAKUWEPO 🥷🥷 AT UHURU STADIUM 🏟️🏟️ DARE SALAAM #simbanguvumoja #SteveBarker #SimbaDay #simbasportsclub #cafchampionsleague
Omari mshairi
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 07:05:24 GMT
Music
Download
Comments
Sielewi wanachozungumzia ila nimekomaa kuwasikiliza kwa sababu ni wachezaji wa Simba❤️
2026-09-09 16:57:35
26
zombie :
wanamsema doumbia masikini 🥺🥺
2026-09-09 07:12:15
9
Tapeli mwenyevyeti :
french nikigum san khel hat english
2026-09-11 19:19:49
1
Dr.Khamidu :
Wanamuuliza mbn hufungi mwanetu
2026-09-09 14:48:29
2
awilo :
doumbia anapendwa na wachezaji wenziwe
2026-09-11 17:30:35
1
MUZIWANDA😂 :
bila kumsah mweshimiwa libase
2026-09-09 15:12:29
8
kimokhan :
Me naona doumbia aendelee kubaki simba
2026-09-09 07:51:27
13
Fashford queen 👑👑👑 :
jamani tumvumilieni doumbia me nimekuwa na Imani nae kuanzia mechi ya mighty wandouz
2026-09-10 14:31:59
1
cucurelampape :
kumbe doumbia ni mzuri kwenye storii
2026-09-10 06:48:30
0
Esther kunchela :
nawapenda sana wachezaji wetu mnajuwa kunifurahisha
2026-09-11 13:55:14
2
user12047661220906 :
nawapenda mbaka naumwa
2026-09-09 12:28:34
3
abdul Aziz 🇹🇿 ONE 🔞 DLS :
ila libase yupo seriously sanaaa
2026-09-09 17:29:19
1
user6544829768737 :
wale wengine hawana hata pa kupigia story
2026-09-09 19:30:37
1
Nancy Sila :
jaman mpanzu
2026-09-20 11:34:19
0
sweet soul💞❤️ :
libasseeee jmn
2026-09-16 20:49:58
0
Ngilishos,jr :
good
2026-09-11 13:14:19
0
hamissboy :
wana ume wa kazi hao 👏👏👍🦁🦁💪
2026-09-09 07:20:22
0
swedy mussa :
ivi simba tukikaa vizuri na doumbia tutapata followers wengi kinoma mana tayari doumbia content creator tosha
2026-09-20 06:32:36
0
rasidi mavulla :
hawa wanaongelea chakula na mshahara si umesikia wanasema bufe pay ? bufe ni folen ya chakula☺️afu pay ni malipo🤣
2026-09-10 06:46:43
0
yatima adeki2021 :
aaaaah doumbia huyoo
2026-09-10 05:57:26
0
user4044847119123Momycleo :
niachieni doumbia wangu
2026-09-29 22:33:54
0
Manu juma :
mpanzu alikua ana beti nn apa
2026-09-10 06:52:27
0
ayubumaenge5 :
awamsemi mtu apo wanapiga zao storitu
2026-09-10 06:20:45
0
dayana :
nimemuwah libase
2026-09-15 13:00:13
0
phany💓 :
Nawapenda
2026-09-09 07:21:12
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.