Dad mung akupe maisha marefu jamn na kaz yako iwe ya her na balaka tele
2026-09-09 07:38:32
11
💞cate💞sammy 💞 :
Jamn vipi swala la salima wangu💔
2026-09-09 16:56:17
1
Dilara Bissness :
Allhmdulillah Mungu akulipe dada unatusimamia sana tim gulf
2026-09-09 09:36:38
2
leooo baby :
zari nakuomba namba yako
2026-09-09 09:05:59
2
Happynes Aloyce :
Mungu ampe afya njema
2026-09-09 08:08:50
2
sajjina ngonyani :
jaman naomben namba za dada zary
2026-09-10 16:26:59
0
mairaji :
mungu akupe maisha marefu na akulinde na kila baya
2026-09-09 08:13:02
2
mamy nady :
mungu amfanyie wepes
2026-09-09 08:21:46
1
Neema Mgandila :
Allah amfanyie wepesi aweze kupona
2026-09-09 13:33:29
0
Editha Temba :
mzazi moyo wake umechoka mana magumu ya mwanae Hali ngumu Mungu awalinde wapambanaji wote
2026-09-09 12:30:30
1
zaimtunda :
ubarikiwe dada zari na m/mungu afanye miujiza kwa Neema
2026-09-09 14:52:16
0
mamajb :
mungu akupe maisha malefu dada zai
2026-09-09 08:11:53
1
mke wa chibaba ❤️❤️❤️🫂💘 :
mungu akusaidie dada
2026-09-09 13:47:45
0
lady fina :
mungu mwema atamponya mpambanaji mwenzetu amiin
2026-09-09 16:04:31
0
🇹🇿 🍇 :
Mungu aponye
2026-09-09 13:18:28
0
da huu 🌹 :
mungu atusimamie wallah nimejikuta nalia
2026-09-09 16:05:59
0
SWAUMU ABEDI :
mwenyezi mungu akupe umri mrefu da zari jamani watu tunapitia mengi sana huku galf hakika hujatuacha❤️❤️
2026-09-09 09:17:35
1
887 H y s :
Mashaahlaa mashaahlaa dada zaro MUNGU akupe umri mrefuaan unatpbania sana Kila hatia ziwe zenye mafanikio kwako dada maan tunapitia mengi
2026-09-09 07:34:39
0
mommy ❤❤ :
🥰🙏mwenyezi mungu achiria uponyaji kwa mpambanaji huyu🙏
2026-09-09 08:19:55
4
c j :
amina sana mungu amfikishe salama na amfanyie wepesi apate kupona kabisa, Asante pia da zari kwa juhudi zako mungu awe nawe
2026-09-09 13:31:09
0
HANAN,52,🇹🇿❤️ :
I pray for his grace and for all those who participated in his struggle until he arrived. May God bless you and your families and grant them a long life of success and many blessings. Amen.
2026-09-09 11:50:12
0
SHANI KIZUNG :
mungu akupe shifaa
2026-09-09 09:25:51
0
anisha jazile :
Allah amponye innshallah
2026-09-09 10:12:24
0
user4761561653618 :
dada nakupenda sana nimtu mwenyeloho nzuli
2026-09-09 09:26:40
0
it..Dorcas..🇹🇿 :
asant MUNGU 🙏🙏
2026-09-09 07:37:44
0
To see more videos from user @mustafara3, please go to the Tikwm
homepage.