usinipande kichwani tena sitaki kupandwa kichwani.aliyeleta mapenzi sijui hata alifikilia nini furaha ni muda mfupi kuliko huzuni
2026-09-18 06:29:25
1
lusam official :
Mahusiano haya ya duniani au mbinguni mbona mm vyote vipya 🥲😂
2026-09-10 05:20:14
30
pisces :
tuna wikk hakn mawasiliano😂 ..af fresh tu...
2026-09-10 20:16:51
5
shammy cute :
nakupendaa sana kipenz changuuu nakuombea Dua kila sikuu Allah akutimizie kile unachoomba chenye mafanikio kwako 🥹🥹🤲🤲
2026-09-09 17:40:12
19
Alinda baby :
usinipande kichwani kbs nina wiki sijatumiwa text na ana view status
2026-09-13 14:10:16
7
Shax🧸Baby 💍❤️ :
umenigusia mulemule yanii🥰🥰@
2026-09-09 09:17:02
9
Ilhamlee😊 :
Alhamdulillah vyote vyanguuu
2026-09-10 15:20:39
7
mukh,taar :
mimi na kibaby changu mwaka wa5
2026-09-10 09:11:20
10
Esther Joseph :
usinipande kichwan mimi
2026-09-10 17:21:13
1
cutechichii :
yaan n sisi kabisaa umesahau moja 😂😂 tukigombana tumenunuana mmoja Anapiga video call Alafu kila mtu kimyaa😂😂😂😂
2026-09-11 06:39:38
6
Mganeshi Tz🔥 :
cjui n mtag hapa 😂😂😂
2026-09-09 12:55:35
1
Mudrick❣️💥🗨 :
Daahhh ilikua kwanguh hivy hivy lakin sasa hiv hayuko hivy naumia san nataman nimwambie nampenda tena lakin nkikumbuka ya nyuma nasema ipo siku mungu atanipa atakaejua thaman yanguh hiv hiv nilivyo
2026-09-10 16:06:40
12
Momy💞na :
TUNAPENDANA kwa heruf kubwa kabsa😂😂😂😂 raha bhna
2026-09-10 23:43:49
1
🎀hymehatun🎀 :
usinipande kichwani
2026-09-09 08:48:04
1
Ummu Jammy :
mtu nilie mpenda sio alio nioa so naish kw kukumbuka mapenz yake
2026-09-10 09:19:20
1
peaceforlife 😉... :
Tena unikome staki mazoea ya kipuuzi 🥺🥺🥺
2026-09-10 20:30:25
1
ashkie💦 :
usinipande kichwani😂😂
2026-09-10 15:19:50
1
mamu :
niongee kwa kukaa au kwa kusimama
2026-09-09 16:18:01
1
~cutie :
twapendan mashaallah 🌹 alhamdulillah 🤲
2026-09-09 15:14:34
1
jooxs :
daaaa unajuaaaaaaaa nataman mpaka kulia
2026-09-09 22:04:42
1
Jeny Jennifer :
mungu nitunzie mkurya wangu
2026-09-10 08:57:07
1
Rachel Peter :
Mimi hata juzi tu nilishindwa kupumua kabisa
2026-09-09 16:13:08
1
miscute762 :
Usinipande kichwani 😹😹😹
2026-09-09 17:55:58
1
D.. $∆nity :
Ndio tunapendana Mimi na pesa Zangu tu
2026-09-09 13:37:25
1
To see more videos from user @baraka.mhenwa, please go to the Tikwm
homepage.